Wanawake ni watu shupavu, wanaweza fanya mengi ambayo wanaume anafanya

Mwanamke akiweza kumpa mimba mwanamke mwenzie bila ya kuwahi kubadili maumbile, That fay nitahama tanzania, Prove me wrong.
:)
 
Mungu aliumba wanawake na wanaume tuishi pamoja kwa kumjua, kumpenda, kumwabudu na mwisho tufike kwakeninguni.

Binadamu tunatengeneza majanga yanayoharibu mpango huu wa Mungu. Majanga kama vita, na biashara ya utumwa vimeharibu uwiano wa wanawake na wanaume.

Wengi wanafahamu kashfa za wanaume na wanaume kufanya mapenzi zilianza siku nyingi jeshini. Hata Alexander The Great inasadadikika alikuwa na mpenzi na mpenzi wake wa kiume aliye kuwa na nguvu sana katika utawala wake na alijua siri nyingi.

Utumwa ulisababisha vijiji vingi kuwa na wanawake na watoto bila wanaume.

Baada ya WWII ulaya walianzisha single parent benefits ili kusaidia wanawake waliofiwa na waume zao vitani. Jamii ilianza kuona nyumba kulekewa na mwanamke ni kitu cha kawaida.

Wanawake walianza tabia za kusagana wakiwa wanaliwazana baadavya waume zao kufia vitani.
 
Women are special in their own way, so tukubaliane tu kuwa wanawake hawawezi kufanya kila kitu wanachokifanya wanaume. Kila side ina nguvu zake na madhaifu yake pia hivyo tusihangaike kuzilinganisha hizi jinsi mbili kimashindano, tayari mwanamke alishaumbwa kuwa msaidizi wa mumewe,
 
Nakumbuka zamani nikiwa mdogo kabla sijatoka mama yangu alikuwa kama mjeda,tulikuwa tunatembea kwa miguu zaidi ya kilomita arobaini kwa siku na mzigo wa nguvu kichwani kwenda na kurudi sokoni!!.....Japo maisha ya aina hiyo na mateso mengine yameniharibu kisaikolojia na kunitenganisha na wewe i can't deny that i love you Mama!
 
Back
Top Bottom