Mapenzi :Huu ni Ubunifu ambao HR wetu aligundua ili kutufanya tupende kazi.Jamaa hali mbaya analazimisha kuja kazini

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambaye tupo naye ofisini na ikatokea kumbe ana mdate dada mmoja hapa hapa kazini.actually ni sisi wachache tunajua jambo hilo. huyu jamaa hali yake ilikuwa mbaya sana..toka jumapili yupo aldhoofu almaut lakini anapambana sana na jumatatu alitia timu kazini. alichofanya ile jumamosi ni kwenda hosp ambako alikataa kulazwa so akapewa dawa atumie na mpaka jumapili hakuw aame recover. nilienda mtembelea nilimkuta amedhoofika sana.

jumatatu nilshangaa nafika ofisini parking naiona gari yake..kusogea nikamkuta amelaza kiti amelala hana hali nzuri.nilimbembeleza sana aka buberwa arudi kwake akapumzike aligoma.nilikuja kugundua sababu kuu ya jamaa kulazimisha kuja kazini.ni demu.buberwa amepata dada mmoja mkali sana yupo reception. ana mdate. sasa anajisikia wivu kuwa akiwa mbali naye jamaa wengine wanaweza mwimbisha wakamchukua.so analazimika kuja hata kama anaumwa ili awepo karibu naye.

Hr mwenzangu hapa kazini ni mwanamke. ni mdada mmoja wa haja hasa...mi nayeye tunajuaa vizuri.tulikuwa tunahusika sana kwenye kuchagua watu kwa ajili ya interview.kigezo kikuu kilikuwa ni akili na urembo. hapa kwetu kuna wanawake asilimia 70 wanaume ni 30 tu. na hawa watoto waliopo hapa si mchezo ni watoto wazuri hasa. lengo ni kuwafanya watu waje kupata huduma zetu/kufanya kazi nasi na pia waliopo wasitamani kabisa kuondoka. na wadada wa hapa walishaambiwa wana kazi ya ku tulea kama ambavyo nasi tuna kazi ya kuwalea.

kiukweli watu huwa hata waumwe vipi hawataki kukosa kazini. na ikifika wakati wa kuchapa kazi watu wanachapa kazi hasa sababu hakuna ambaye anataka kuonekana kilaza au mvivu.wadada wa hapa wanajiita Beauty with Brain. wanajiamini na wanapiga kazi hasa. jambo hili limekuwa likitufanya wanaume tusitamani kabisa kukosa kuja kazini.kushuhudia leo huyu ametokaje na yule amevaaje. jinsi ambavyo wadada hawavai chupi na mirindimo ya kibantu inayopatikana hapa kazini. imefikia hatua hata mtu akiwa anaumwa yupo tayari aletwe kwenye machela afanye kazi huku ametundukiwa drip ili mradi asikose kusafisha macho.

huu ni ujanja ambao ulianzishwa na ma hrs waliopo hapa na umekuw aukisaidia. kuna watu hata likizo huwa hawataki kwenda. unaendaje likizo na wakati kuna watoto wazuri hapa wanazagaa zagaa tu. na wengi wao hawakati kuolewa wanataka wanedelee kula nasi kuku tu.sisi wengine wapole na madomo zege tunafurahia tu kuona hali hii huku nasi tulichapa kazi na siku zinaenda.

asilimia 90 ya wanaume ni dhaifu sana kwa wanawake.asikudanganye mtu wanawake wana uwezo mkubwa sana wa kutawala dunia kwa kutumia kiungo chao muhimu sana na cha thamani.sema wengi wao hawajajua (NGUVU YA K (THE POWER OF K) wanaacha tu idharaulike na itumike hovyo hovyo. anyway ngoja nichape kazi huku nikimwangalia mtoto Rahma akijitisha pitisha na mimatako yake ndani ya baibui inatikisika. astaghafilulah.. hivi tutaoa kweli? aaargh... jamani. karibuni sana mtutembelee ofisi zetu zipo town kati kati ya jiji.
 
Aisee kwenda kazini kwa machela na dripu juu just coz of totozzzzz
 
Hahahahahaa ,, umenikumbusha habari ya BATA DUME.

bata dume akiwa anafukuzia mzigo yaaan hata miguuni kwa wagen atapitaaaa ,,bata atafukuziaaaa na akishampanda yaaan hata umpige nafimbo hawezi kutoka km bado hajamaliza !!.

Huyo ndio Bata !!.
 
Aaaaah Kuna watu uwa hata hawajui maana ya uhai mtu anaenda kazini anatetemeka home Kali daah, Mimi uwa najua ni misukule ya kampuni fulani how come?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom