Huyu Mwanamke ananiumiza kichwa!!! Inawezekana nae ananipenda!!? Ushauri wadau

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
Ni hivi... Nimeajiriwa katika taasisi ambayo imepakana na taasisi nyingine karibu. Ndani ya taasisi yetu kuna Canteen ambapo huwa tunajipatia chai na chakula cha mchana. Sasa kwa siku za karibuni taasisi ya jirani wameajiwa watumishi wapya na huwa ukifika muda chai/kula hufika canteen iliyopo katika campus yetu kwa ajili ya kujipatia chochote.

Hivi karibuni nikiwa nimeenda kujipatia chai walitokea wasichana warembo wawili kujipatia chai na tokea hapo tumekuwa tukikutana almost kila siku. Bahati mbaya huwa nawaogopa/siwashobokei wanawake warembo sana kwani ni pasua kichwa. Mmoja wa hao wasichana ni mrembo kwelikweli, maji ya kunde, mrefu wa wastani, ana meno ya kung'aa, mnene wa wastani na chura la haja. Kweli kumuona tu nilihisi moyo kama unanitoka. nilimuangalia naye akaniangali kisha akatabasamu na kila mara hufanya hivyo ila hatujaongea

mwishoni mwa wiki jana nilivyoenda kunawa mikono baada ya kula bomba lilikuwa halitoi maji hivyo nikawa natumia jagi kunawia kwa shida kidogo. Aliniona akaacha kula akaja na kuninawisha. nilimshukuru kisha akaondoka. Niliondoka, muda wa kutoka kazini ulipofika nilitoka nikiwa na-drive, hamad nikakutana nae nikaamua kumpa lift. nilitazama mapaja yake nikajikuta hoi. nilimfikisha kwao, akanikaribisha ila sikuingia nikaondoka kwenda kwa mke wangu.

Jana naona hali imejirudia tena. wakati wa chai nilikutana nae akaniomba tukae wote. Alikuwa mcheshi sana akaniuliza kama nimeoa baada ya kunisikia nikiongea kwa simu nikamwambia ndio (ila hatujafunga ndoa). Ameniomba namba na kuahidi kunitafuta.

Inawezekana nae ananipenda wadau? Nipeleke majeshi?
 
Mwanaume hakuumbwa kupenda mwanamke mmoja komaaa boy
 
Blessings man

What you are experiencing is lust not love

Love is based on mutual respect and understanding.

Remember the golden rule.

Usimfanyie mtu kile usichopenda kufanyiwa.

You must set principles to guide your life.... including your love life.

Ask your innerself to guide you through this.

Au wewe ni mtu wa hivihivi tu haujali lolote?

What are you striving for in life?

Sasa hivi watu wanasisitiza sana kwenye udanganyifu, kujikweza, tamaa, fedha bila kazi, ngono na mambo mengi yanamna hiyo.....na mambo haya wala hayatujengi. Zaidi yanatuletea mahangaiko baadae.

Stay humble
 
m post: 25454651 said:
Acha Papara bas Mkuu Kaomba namba tulia usionyeshe kama una uhtaj sana utampeperusha ndege kwa kuonekana una tamaa.
Watch her Moves ndege anaelekea bandan huyo.
Hahaaaaa. Sawa mkuu
 
Wewe first year hata mwandiko wako unaonesha, kazania masomo achana na mademu mambo ya kudanganya wakubwa kwa stori za kitoto uache
 
ukiombwa namba tu jukumu la kufikiri unakipa kichwa cha chini
 
Blessings man

What you are experiencing is lust not love

Love is based on mutual respect and understanding.

Remember the golden rule.

Usimfanyie mtu kile usichopenda kufanyiwa.

You must set principles to guide your life.... including your love life.

Ask your innerself to guide you through this.

Au wewe ni mtu wa hivihivi tu haujali lolote?

What are you striving for in life?

Sasa hivi watu wanasisitiza sana kwenye udanganyifu, kujikweza, tamaa, fedha bila kazi, ngono na mambo mengi yanamna hiyo.....na mambo haya wala hayatujengi. Zaidi yanatuletea mahangaiko baadae.

Stay humble
umeongea vyema sana mkuu, ila ngekua mie ngemkunja tu hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom