Kipimo cha mapenzi ya nje na ndani ya ndoa

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu waungwana.

Ukweli ni kwamba kwa mapenzi ya sasa hakuna hata mmoja aliekua mkweli kwa mwenzake watu wote ni waongo anaejiona anapenda kwa dhati huyo kaingia cha kike.

Niko na Story 3 ambazo mimi mwenyewe ndio muhusika mkuuu katika hili nimejifunza nikaona niwashtuwe na wenzangu.

Wasifu wangu umri ni 35 baba wa watoto 4 pia ni mume wa wanawake 2.

Katika pita pita zangu kwa kua wanaume hatuachi kuchopa wanawake kwa maneno hasa kwa rika langu ili tususahau yale maneno nakuona kwenye glasi nilitokea msichana 1 sikujua kua ni mwana ndoa na yuko na mtoto 1 baada ya kujua hilo nikaaamua kuusoma udhaifu alionao mume wake bint kanihadisia nikasema mie nayaepuka madhaifu ya huyo bwana duuuu bint baada ya wiki 2 akakolea shida ikawa siwezi kuchuchumalia maana siwezi kuzini na mke wa mtu binti kadai talaka kwa mume wake ahamie kwangu nikamwambia wake 3 siwawezi kabda asubiri tena na mume wake sio ujane kwa sasa yuko na mume wake naangalia njia za kupotea nimuache aishi kwa matumaini. Hapa nikapata somo kumbe wake zetu wakidoewa hutoa mapungufu yetu kwa watu hao kisha tukaonekana sie si wa mana kumbe hata huyo akimuowa atakua na mapungufu yake.

Pili kuna bint alikua anashoboka nikampa neno akajifanya kuelewa somo ila akaniambia mke wa mtu mmmmmh nikajiona sina bahati ili kumkimbia ikabidi nijidogoshe kujifanya sina kitu cha kuhonga basi binti akanambia "Babu nyege ni kunyegezana kumbe unataka kunitia deshelele bure aaaaka mie kwa hivyo sitaki". Hapa nikapata kumbea stara ya ndoa ni pesa na wake zetu hujiuza kwa wanaume hawafanyi kwa kua hatuwatoshelezi bali kwa tamaaa ya mali na kupedeza.

Tatu kulikua na mwanamke tulipanga kuowana toka tuwatoto ilikua hata hajawa mwari ila akaamua kula kona na akaolewa na mtu mwengine akazalishwa watoto sita juzi nimeonana nae nikamuambia sikusamehe kwa ulivyoniumiza moyo na maneno mengine heeee mara bint kalia akaniambia hana la kufanya maaana kashaolewa na anampenda mume wake ila lakushangaza mara 2ameshaniambia nikodi hoteli ili nimuonjeshe kile alichokikosa kilansiku imekua balaa maana huniambia akiwa mume wake hayupo na mie hujifanya niko bize.

NB:
1. Siogopi kufanya mapenzi na wao ila naogopa siku mungu akinisimamisha na waume zao na kuniambia kua nimekula kitu amacho si haki yangu na adhabu za allah.
2. Dini inasema kama unavyofanya kwa mwenzako na ww utafanyiwa sasa nimeengezeka hofu na kujiuliza vipi wake zangu wako salama ama na wezangu wanajilia? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mmmh rubbish we mume wa wake wawili bado unaongea upuuzi huo na hao zilipendwa ili iweje mpashe viporo au....eti naogopa muongo ushazini nao hata kwa maneno yenu hayo...mmmh
 
ongeza wafike wanne ujilie kihalali..... pamoja na kuoa wake wawili bado unalilia mapenzi ? una laana sio bure, hao wake za watu unaojisifia wanakupa unakataa si wewe unawatongioza ? wanakuja kwako kukulazimisha?. kujitia mtu wa dini kumbe mzinzi
 
Wewe sema una pepo la ngono. Unajisifu una wake wawili na bado unataka vya nje. Huna character za kuitwa mume. Mume anatakiwa awe na uwezo wa kudhibiti tamaa za mwili.
 
Mmmh rubbish we mume wa wake wawili bado unaongea upuuzi huo na hao zilipendwa ili iweje mpashe viporo au....eti naogopa muongo ushazini nao hata kwa maneno yenu hayo...mmmh
Hiii story ni kujifunza namna maisha yalivyo hasa kwa wana ndoa
 
Akili ya mtu kichaka, hata ukitambua wayawazayo wake zako hutoamini kamwe ndio maana Mungu akatuficha ktk hilo.
 
Habari zenu waungwana.

Ukweli ni kwamba kwa mapenzi ya sasa hakuna hata mmoja aliekua mkweli kwa mwenzake watu wote ni waongo anaejiona anapenda kwa dhati huyo kaingia cha kike.

Niko na Story 3 ambazo mimi mwenyewe ndio muhusika mkuuu katika hili nimejifunza nikaona niwashtuwe na wenzangu.

Wasifu wangu umri ni 35 baba wa watoto 4 pia ni mume wa wanawake 2.

Katika pita pita zangu kwa kua wanaume hatuachi kuchopa wanawake kwa maneno hasa kwa rika langu ili tususahau yale maneno nakuona kwenye glasi nilitokea msichana 1 sikujua kua ni mwana ndoa na yuko na mtoto 1 baada ya kujua hilo nikaaamua kuusoma udhaifu alionao mume wake bint kanihadisia nikasema mie nayaepuka madhaifu ya huyo bwana duuuu bint baada ya wiki 2 akakolea shida ikawa siwezi kuchuchumalia maana siwezi kuzini na mke wa mtu binti kadai talaka kwa mume wake ahamie kwangu nikamwambia wake 3 siwawezi kabda asubiri tena na mume wake sio ujane kwa sasa yuko na mume wake naangalia njia za kupotea nimuache aishi kwa matumaini. Hapa nikapata somo kumbe wake zetu wakidoewa hutoa mapungufu yetu kwa watu hao kisha tukaonekana sie si wa mana kumbe hata huyo akimuowa atakua na mapungufu yake.

Pili kuna bint alikua anashoboka nikampa neno akajifanya kuelewa somo ila akaniambia mke wa mtu mmmmmh nikajiona sina bahati ili kumkimbia ikabidi nijidogoshe kujifanya sina kitu cha kuhonga basi binti akanambia "Babu nyege ni kunyegezana kumbe unataka kunitia deshelele bure aaaaka mie kwa hivyo sitaki". Hapa nikapata kumbea stara ya ndoa ni pesa na wake zetu hujiuza kwa wanaume hawafanyi kwa kua hatuwatoshelezi bali kwa tamaaa ya mali na kupedeza.

Tatu kulikua na mwanamke tulipanga kuowana toka tuwatoto ilikua hata hajawa mwari ila akaamua kula kona na akaolewa na mtu mwengine akazalishwa watoto sita juzi nimeonana nae nikamuambia sikusamehe kwa ulivyoniumiza moyo na maneno mengine heeee mara bint kalia akaniambia hana la kufanya maaana kashaolewa na anampenda mume wake ila lakushangaza mara 2ameshaniambia nikodi hoteli ili nimuonjeshe kile alichokikosa kilansiku imekua balaa maana huniambia akiwa mume wake hayupo na mie hujifanya niko bize.

NB:
1. Siogopi kufanya mapenzi na wao ila naogopa siku mungu akinisimamisha na waume zao na kuniambia kua nimekula kitu amacho si haki yangu na adhabu za allah.
2. Dini inasema kama unavyofanya kwa mwenzako na ww utafanyiwa sasa nimeengezeka hofu na kujiuliza vipi wake zangu wako salama ama na wezangu wanajilia? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hakika tegemea nao wanaliwa huko mkuu,
 
We acha tu
Mi ningekuwa sijaoa nisingeoa.
Kama nyama na maziwa yanapatikana nifuge n'gombe la nini
 
Back
Top Bottom