GOLDENSTONE
Member
- May 15, 2015
- 35
- 33
Waungwana naongea na vijana wenzangu tufanye kaz huo umaliyoo Kuna uzee msiendekeze kulelewa Jaman uzee sio mchezo Tufanye kaz tujiokoe Uzeen Marehem Remy aliimba nkifikilia uzee silal sa mnadhan mtakua umaliyoo had Na uzee? Vijana pia msichague kaz