jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Baada ya kuwa katika mgogoro mzito wa kifamilia (uliyonihusu mimi kuwa na wanawake wengine), aliyekua dada yetu wa kazi akawa ananifariji shemeji yake.
Dada huyu nililetewa kijijini na mama yangu.
Katika hali ya sintofahamu tukajikuta tunachat na hasa anakua ananishauri nipunguze jazba tukae tuyamalize.
Kutokana na kuwa na ukame baada ya mke wangu kuwa mjamzito nikaomba game kwa dada, bila hiyana akanipa show.
Siku hiyo tulijikuta tumebaki wote nyumbani, nae alikua na ukame kimtindo
Hee, baada ya kama one hour, mke wangu akaingia, mimi nilienda zangu kulala.
Mara papa naona simu kutoka kwa mama kijijini umemfanya nini dada wa watu? Nikakana futi 100 sijui lolote.
Sijakaa sawa mara msg ya dada, oohh mimi naumia nataka nirudi kwetu, sasa
nikabaki na mshangai, mbona mwanzo alinipa ushirikiano 100% sasa imekuaje tena? Nikamjibu tu kwani kuna nini?
Mbaya zaidi yeye alinisisitizia nifute chatting msg zetu, nashindwa kuelewa,
pengine zake hakufuta? Na kikubwa kamsimulia mpaka mdogo wake na mke tunayeishi nae hapa nyumbani na tunaheshimiana kwelikweli.
Sielewi akili yake iko sawasawa au ni mipango yao na mke wangu ukizingatia si mtoto mdogo maana tayari anamtoto wa takribani miaka 4.
Hapa niponipo tuu sijielewi kama stendi ya TV, hakuna anaenisemesha wala kupiga simu, nimevurugwa kwelikweki. Sijui akili zao zinaniwazia nini.