Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uncle au mjomba ni yule ndugu wa damu wa mama, kwa huu uzungu wa kuona baba mkubwa na baba mdogo tunawaita uncle. Aunt ni shangazi au mana mdogo. Hii tabia ya kuwafundisha watoto jumuia shost...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Polen na majukum Mimi ni mama wa mtoto mmoja Nina mchumba ambae sio baba wa mtoto wangu Baada ya kukaa kiuchumba tumeamua kuishi pamoja Iko hv Mimi na kaa kwangu na mtoto wangu na yeye anaishi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume? Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?
3 Reactions
90 Replies
13K Views
Nahitaji rafiki wa kike wala sio mpenzi sababu mpenzi ninae. Ila akitaka Huduma nyingne nitampa anazostahili mchumba. Tubadilishane mawazo ya maisha na tupeane ushauri. Awe na elimu juu hatakama...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Wakuu poleni na majukumu ya juma zima, kaka anahitaji ushauri nami ndipo nilioona nishirikiane na wanajamvi. Huyu ni ndugu yangu anasema alikutana na binti kwenye mtandao mmoja maarufu baada ya...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
niliandika thread humu natafuta mdada aliyesoma na ana kazi ila mapovu yaliyowatoka watu si wa nchi hii. kwahyo bongo wadada wanataka wawe magolikipa tu ama? hizi mentality bana, muwe mnabadilika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni vitu gani ambavyo mtu anatakiwa afanye akiwa kwenye miaka ya 20 ili asijutie akifika miaka ya 30 na 40?
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Holla.... It's about last night, that day, the day you deeply kiss me, the day we roll over each other.... was the day we couldn't sleep..... (you know why). The take away was Biriani Kuku and a...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Unaweza ukajiuliza namaanisha nini! Baba yangu ni fundi garage hana Jumapili wala Jumamosi, wala sikukuu. Hata kama hana kazi hakai nyumbani. Anatoka mapema asubuhi kabla ya saa1 siku zingine...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanangenga napata wakati mgumu sana hivi karibuni kwani kuna mtoto mzuri nimekutana nae kwenye harusi nikatambulishwa kuwa ni binamu yangu Tumebadilishana ma07 na sasa ameanza kuniletea mapicha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii nyota ni very competitive na nyota yangu tena ni mpinzani haswa, leo kaningurumisha, nadhani siku ya leo ikiisha vizuri kesho nipikiwe pilau kusherekea. Ilikua asubuhi nzuri baada ya kuamka...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Jamani wanawake kuweni wastaarabu. Kama mwanaume ajajaliwa kuwa na kipato kinachokutosha na wewe umejaliwa kupata pesa nyingi kuliko yeye usitumie kigezo hicho kumnyanyasa kwa maneno au...
0 Reactions
9 Replies
887 Views
Leo katika maisha yangu nimeonja machungu ya kuachwa nakubaliana na watu woote mapenzi yanaumiza na kweli yanaweza pelekea mtu kukonda na hata kujiua.... Leo nimeachwa kisa nitaamumiza kwa...
12 Reactions
150 Replies
23K Views
Habari wanajf, Nina jamaa yangu, kiukweli huyu jamaa kanistaajabisha sana.Mimi kuna demu nimekula,bonge moja la mtoto aliyenona haswaa. Sasa nashangaa jamaa yangu naye eti anataka kumla...
4 Reactions
118 Replies
9K Views
Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa. Mengine njoo PM.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kasie Mtoto....... Nilipokuwa binti mdogo nilikuwa mdadisi sana, nakumbuka nilikuwa nikimuuliza mama Kasie kila mara nikiwa mkubwa ntakuwa nani? Yaani maisha yangu yatakuwaje? Mama Kasie...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Mungu ibariki Tanzania. Story yangu ilikua hivi... Siku moja nilienda kumtembelea girl wangu mitaa ya kwao ilikua jioni ya kama saa 1,nilikua na rafiki yangu kanisindikiza, kufika pale yeye...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamaangu huwa ni mtu wa biashara za mazao anaweza potea mwezi akarudi sasa mkewe anamsababishia matatizo ya kisaikolojia kuliko ya nabii Tito. Mamsapu huyo aandaapo begi la mzee huweka pakti kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyie jamaa mnaoomba Dyudyu ya free kwa wake zenu ...njooni hapa msikilize maneno kuntu ya Mwana Mama .
4 Reactions
133 Replies
19K Views
Siku zote mmekuwa mkinishauri ndugu, kaka na rafiki yenu kuwa natakiwa kuoa well nakubaliana nanyi si kwamba napinga hasa ukichukulia kiumri mimi ni mkubwa 40s sema tu mambo mambo mwengi sometime...
7 Reactions
79 Replies
8K Views
Back
Top Bottom