Hivi shida ni nini?

Hivi shida ni nini?

wenalitha

Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
60
Reaction score
50
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.
 
ukimtanguliza Mungu utapata wakufanana na wewe .usiishie kuomba upate mwenye Pesa tu.omba upate mtakaye pendana kweli mwenye sifa zote utakazo
 
Kwanini uzeekee kwenu??? Kwako bila kuolewa huwezi kuishi maisha yakujitegemea na kusimama kama mwanamke??
 
Kwanini uzeekee kwenu??? Kwako bila kuolewa huwezi kuishi maisha yakujitegemea na kusimama kama mwanamke??
ni utamaduni wa zamani wa kimapokeo mwanamke ilikua kuondoka kwenu mpaka utakapochukuliwa na mume wako.
 
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwenye mamlaka ya kupenda ni mwanaume tu, mwanamke yeye ni kuheshimu tu na heshi.a hiyo huelekezwa kwa mwanaume anayekupenda tu.
 
Yani kuna kitu kinaumiza mno nafsi yangu yani unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Pole sana mara nyingi huwa inakuwa hivyo esp kwa wadada. so komaa na hapo ulipo tu.
 
Tokea lini mwanamke akapenda? Mwenye mamlaka ya kupenda ni mwanaume tu, mwanamke yeye ni kuheshimu tu na heshi.a hiyo huelekezwa kwa mwanaume anayekupenda tu.
Huoni kama mwanamke asipopenda inakuwa inampa uwezekano wa kuwa cheater
 
Kwanini uzeekee kwenu??? Kwako bila kuolewa huwezi kuishi maisha yakujitegemea na kusimama kama mwanamke??
Inawezekana bado mdogo but kwa upande wetu madada kuna umri ukifika huwa unahitaji kuwa na mji wako ili uheshimike na sio kurandaranda usione watu wanakesha makanisani kulilia ndoa wanapenda ni age ndiyo huwa inasukuma.
 
Utampenda tuu siku zinavyosonga mbele!

Ukitaka ufurahie ndoa basi fanya juu chini uolewe na anayekupenda! Naamin utaishi kama Malkia
 
Kuna wakati ktk maisha utakosa hata watu wanaokupenda we huwapendi kuwa makini
 
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Hiyo ni nature. Unayempenda hakupendi, na anayempenda hampendi. na anayekupenda humpendi.
 
Shosti ni kawaida sana wachache sana wenye bahati ya kuolewa na wanao wapenda,ila once ukipata alie kukubali na wewe unabidi uanze kujifunza kushukuru mwenyezi mungu alicho kupa,huenda yule hakua na kheir na wewe,mimi nimejifunza mengi sana na hua silazimishi sanaaaa nikiona jambo lina mitihani hua nawacha ila muombe sana mwenyezi mungu akupe moyo wakuridhika na anachokupa na kumuomba akupe upeo wakuona mbali na subra ...
 
Ok thanks nilihis may be yanikuta mie tu.
Usihangaike sana na mapenzi, angaika sana na hatma yako. Usihangaike sana na ndoa, angaika sana na furaha ya maisha yako. Kwenye ndoa unapata kinoja tu, ambacho ni social respect. Vingine vyote ambavyo vinavyopatikana kwenye ndoa, vinapatikana pia nje ya ndoa. Huna haja ya kuwapa watu nafasi ya kukuchagulia maisha ya kuishi, ishi upendavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom