Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukimwambia mwanamke kuwa unamtamani ni kesi kubwa sana, wanaona kama kutamaniwa sio haki yao. Wengine hudiliki kusema "hukunipenda, ulinitamani tu" (kana kwamba kutamaniwa ni kitu kibaya). Ajabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kimsingi tofauti ya changudoa na mwanamke alieolewa au aliekwenye mahusiano eti kwasababu ya mkwanja wa mwanamme ni ndogo sana. Tofauti yenyewe ni kwamba changudoa anatoa huduma kwa umma (public)...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA (Kopi kwa wanawake wote mlioolewa) Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao...
51 Reactions
151 Replies
14K Views
Natumai mmeamka salama Tanzania yote! Nimegundua mchezo hatari unaoleta mkanyagano na kung'atana katika mahisiano. Mwezi uliopita niligombana na shemeji yenu kiasi cha kunyofoana nguo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni ngumu kupata ajira watu wote tukaajiliwa muda mwingine tunatakiwa tujiongeze na hakuna kitakachoshindikana Leo naomba nitoe tumaini jipya kwako ww kijana unayehangaika kuitafuta kazi bila...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF salamu nyote, Niende kwenye mada ndugu zangu, Naombeni kujuzwa zaidi ni ipi zaidi faida ya kunywa kahawa? Ni muda wa wiki mbili toka naanza kunywa kahawa seriously zaidi kidogo...
3 Reactions
126 Replies
13K Views
Nimekuta nikimvulia vyeo vyangu binti ambaye nmekutanana nae muda mfupi uliopita. Katika safari ya kuelekea ndoto yangu ya kuwa field marshal iliyoishia kwenye ukanali sijawahi muona binti...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wakati huu enyi watu Mungu? Ebana hapa mezani kwangu kuna kesi nimeletewa na mshikaji wangu nimsaidie kumpa mawazo lakini obvious mimi nimeshindwa hata niisuruhishe vipi, issue iko hivi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Imegundulika kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1980 hadi mwaka 2000 walijifunzia ' Ngono / Kubaiolojika ' kupitia kwa House Girls / House Maids wao ( yaani Wadada wa Kazi au...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza uhalisia wa jina la mtu na matendo yake,lakini nikakumbuka msemo wa kikwetu usemao"Eibala libi lita nyinalyo" kwa tafsiri isiyo rasmi ikiwa na maana kwamba jina baya...
0 Reactions
12 Replies
30K Views
Wakuu, Kwa wale ambao hatujawahi kusex kabisa tuseme neno hapa Unavyoisikia sex ni picha gani inajengeka kichwani mwakoo Unataman kusex na mtu wa aina ganii Yaani mtazamo wako ktk sex ni upi...
2 Reactions
79 Replies
13K Views
Kama kawa kama sawa!! Kila siku nasikia vijana mabachela wanauliza kuhusu hili swala la mke kuwa Wife material au kwa wadada kutafuta mwanaume husband material au kwa ufupi wanatafuta mtu ambaye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf natumaini kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU kila mmoja yuko poa kwa nafasi yake; ingwa kunawengine hawapo vzuri sana kiafya muda huu pengine wapo vitandani wakiuguza majeraa mbali mbali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwanza niwapongeze kwa kazi mnayoifanya kuendesha hii Jf, ila nimeshangazwa na uzi wangu kufutwa hapa MMU bila kuelewa tatizo hasa nini kwani nikiangalia maudhui ya ule uzi haukua na maneno makali...
0 Reactions
9 Replies
813 Views
I am still looking for a women to become a true wife of mine. For more details, please! contact through mobile no.0789811885
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinasadifu hapo. Aliye serious but awe single maana naogopa foleni
0 Reactions
7 Replies
853 Views
Mahusiano ni jambo pana sana katika dunia hii watu wengi wamejikuta wanaendele mbele kwenye mahusiano feki wakaishia kuumizwa na wengine hadi wamedhubutu kujiua kwasababu ya gmahusiano . Leo...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Zamani ilikuwa ni kwa wanawake tu ila sikuhizi hata wanaume wanafuata pesa na kupenda miteremko. Mapenzi sio sehemu yakutegemea kunufaika tu, ziko nyakati utalazimika kujitoa, kusacrifice kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Multi maca inatokana na mmea unaoitwa lepidium meyenii kutoka nchi ya Peru na una historia zaidi ya miaka 2000,Nchini Peru mmea huu hutumika na watu kuanzia umri wa miaka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya. Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki...
5 Reactions
116 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…