Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ni sawa kumuoa mwanamke aliyekuzidi umri?? Kidini imekaaje?? Mfano mwanamke amekuzidi miaka 4, nini madhara ya kibayolojia??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Nina tabia ya kumuudhi mama watoto wangu yaani hii Tabia nimeanza tangu muda mrefu naanzia haka kamchezo, ilikuwa lazima nikikutana na girlfriend wangu nimuudhi, yaani nitamchokoza...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Jamani mwenzenu nimejawa na hofu kubwa ya kuibiwa mpenzi wangu, coz amebadilika sana nikilinganisha na awali, na muda mwingi anaficha sana simu yake tofauti na mwanzo wa mahusiano yetu, wadau...
3 Reactions
115 Replies
41K Views
Sina mpenzi yoyote natongozwa na wanaume wengi tu na ninawakubali lakini hakuna kinachoendelea kati yangu na wao bado nipo mpweke. Nifanyeje niwe na mtu permanent wa kwangu mwenyewe?
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwa kuanza na wanaume nimegundua haya; WANAUME WAREFU walio wengi; -wanawasaliti sana wake zao. -ni wababe na wakorofi kwa wake zao japo katika jamii inayowazuka huwa ni Wapole...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Yanii nlikuwa nimefikiria na kuplan vitu vingi sana juu yakee...sasa ghafla leo tupo mchezoni mtu kainama naona 0713... Inatema feaces aiseeee hamuu ikaniishia kabisaa..!! Atanisamehee tuu maana...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana bodi mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. 2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Mwanamke mwenye nywele ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura ya mpenzi wako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya mwenza wako kuwa huru wakati amelala. Funga nywele zako...
34 Reactions
302 Replies
68K Views
Nawasalimu sana wote! Nipenda kwa wale wenye muda wao mzr leo weekend pumzikieni kwenye hii ili kuboresha unachokifaham katika rlshp yako! Mwanasaikolojia mmoja aitwae _William James aliwahi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habarini za jioni Kuna swali linanitatiza akili Je, kwa wanandoa ni lazima kufanya mapenzi kila siku ? kuna baadhi ya wanawake hawapendi kugegedwa kila siku lakini wanaume wanataka, na pia...
1 Reactions
87 Replies
13K Views
Hodi hodi humu ndani naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo la ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga mara mbili au tatu inahitaji ujuzi au vitu gani? Mkinipa hii siri natumaini mtakuwa...
2 Reactions
51 Replies
18K Views
RIWAYA: MPANGO WA KANDO NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA 1 KADRI karandinga lilivyokuwa linazidi kushika kasi ndivyo akili yake nayo ikazidi kuamini kuwa hakuwa katika ndoto tena bali ni kweli...
4 Reactions
83 Replies
29K Views
Mwanaume anayempenda mke/mpenzi wake kwa maneno na matendo huku akimpa heshima mke/Mwenzi wake jua ni matunda ya malezi bora ya Mama yake mzazi na usimamizi wa Baba bora . Kuna page nyingi...
2 Reactions
0 Replies
940 Views
Leo waraka wetu wa kiumeni unaenda vyuoni pamoja na maofisini kusambaza mbegu ya Upendo na kuamsha vitu muhimu kwenye ubongo na vifua vya wanaume wenzetu Tanzania Bara na visiwani. Usimsomeshe...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Za mihangahiko wana MMU??!! Naomba Leo niongee na kaka zetu wakubwa wetu hata Baba zetu... Ivi linapokuja swala la kuoa mnakosea wapi asee?? Au mnaangalia vigezo gani?? Kwanini umuoe mtu...
8 Reactions
170 Replies
12K Views
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau Nina girlfriend wangu tuna Mwezi mmoja yeye Ana miaka 27 Mimi Nina miaka 29 lakini cha ajabu ananiamkia shikamoo akiwa na rafiki zake lakini rafiki zake wanajua Mimi ni shemeji yao. Hivi...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
KUNA HUU UJUMBE NIMEUPATA MAHALI, NAPENDA KUSHARE NANYI NDUGU ZANGU. NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA (Kopi kwa wanawake mlioolewa) Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Zingatia ukweli pasina kuwa na itikadi yoyote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom