rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Yanii nlikuwa nimefikiria na kuplan vitu vingi sana juu yakee...sasa ghafla leo tupo mchezoni mtu kainama naona 0713... Inatema feaces aiseeee hamuu ikaniishia kabisaa..!! Atanisamehee tuu maana namuacha kimya kimyaa apambane na maisha yake yani bila hurumaaa...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]