Napenda kumuudhi kwa makusudi

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Habari wakuu
Nina tabia ya kumuudhi mama watoto wangu yaani hii Tabia nimeanza tangu muda mrefu naanzia haka kamchezo, ilikuwa lazima nikikutana na girlfriend wangu nimuudhi, yaani nitamchokoza mpaka akasirike, hapo nitafurahi

Mpaka sasa hii tabia ninayo yaani shemeji yenu asipokasirika siriziki hata kidogo, me napenda akasirike tena nimkasirishe Mimi mwenyewe, ili nimbembeleze, mwanamke akikasirika Raha, tena umpate mwanamke wa pwani, akikasirika ataongea weee, hadi raha,

Hii tabia inapelekea mademu wangu wengi wananikumbuka na kudai wamenimiss sana kisa tu nikikutana nao nawaudhi kwa makusudi, je hili ni tatizo
 
Sio tatizo,ongeza uchokozi maana hiyo ni
IMG-20170213-WA0001.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom