Nipeni siri ya kufanya tendo la ndoa round mbili au zaidi

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
621
Hodi hodi humu ndani naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo la ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga mara mbili au tatu inahitaji ujuzi au vitu gani?

Mkinipa hii siri natumaini mtakuwa mmewasaidia wanaume wote wa Dar es salaam maana niliwasikia wakitafuta maufundi haya karibuni uwani kwa mchango wenu.
 
Fanya mazoezi kunywa maji mengi angalau 4litre per day(bt it depend wit u'r weigh)

Utaenda zaidi ya raund tano hadi atakuchoka
 
kwani unashindana na nani? pambana na hali yako mkuu! ila unaweza kuongeza pumzi kwa kukimbia km2 -5, endesha baiskeli kama mazoezi na pushap na prank lazima unyooshe goli za 2/3 non stop!
 
Hodi hodi humu ndani....naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo La ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga Mara mbili au tatu inahitaji technic au vitu gani?
Mkinipa hii siri natumai mtakuwa mmewasaidia wanaume wote wa DSM maana niliwasikia wakitafuta maufundi haya.
Karibuni uwani kwa mchango wenu.
Afya bora, chakula bora hasa matunda kama vile ndizi na matikiti maji, mazoezi (kam nile kukimbia si chini ya 6km a day) na fikra ziizotulia.
 
Yaani hivyo viround viwili vitatu ndio vyakuomba ushauri kabisa aisee nilifikiri hivyo nivitu vya kawaida kabisa.
 
Tendo la ndoa ni uamuzi na raha kati ya watu wawili hata wakitenda kila saa ni wao na kinachowakonekti kupata raha zao watu kamwe hawawezi kuwa na kanuni moja katika haya.
 
Hodi hodi humu ndani....naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo La ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga Mara mbili au tatu inahitaji technic au vitu gani?
Mkinipa hii siri natumai mtakuwa mmewasaidia wanaume wote wa DSM maana niliwasikia wakitafuta maufundi haya.
Karibuni uwani kwa mchango wenu.

  1. Usiwe na Stress au Frustrations
  2. Pata muda mzuri wa Kulala / Kupumzika
  3. Hakikisha mwili wako kila mara una Maji ya Kutosha
  4. Kaa mbali na Vyakula vya Mafuta bali pendelea Vyakula vya Asili
  5. Hakikisha unafanya nae Mapenzi yupo Moyoni mwako na siyo Machoni mwako tu
  6. Angalau ndani ya Wiki tenga Siku zako tano ( 5 ) za Kufanya mazoezi ya Mwili
  7. Hakikisha unampata Mwanamke ' Mtundu ' ili awe anakupa vitu vipya vya Kukupagawisha
Kila la kheri.
 
Moja, Relax yaani tuliza akili yako kabisa amini kuwa mzigo oni wako peke yako pili, acha kuwaza kodi za nyumba, madeni, shule, kazi na mambo mengine hakikisha akili yako yote iko pale tu.

Tatu, Angalia full gemu, achana na mambo ya kufanya huku umefumba mamcho kama vile unasali, sio sala ile ni kazi kama kazi nyingine, fungua mamcho angalia chuchiu, kalio, kifua, tumbo, kila mahali utazidi kupata hisia. Nne, huna haraka ya kukimbizana na kufunga goal, taratibu taratibu tu.
 
Unagongewa mkuu. hawa wa siku hizi ambao ulala nazo. Round moja ni kumchafua na kumpa magonjwa ya kiuno.
unafikiri ukipiga round tatu ndiyo dawa ya kutogongewa? dawa ya kugongewa haipo kama demu anataka kugongwa hata umpige kumi atagongwa tu.

Kwa afya yes round moja is fine, lakini kwa tamaa hata kumi sawa though ni mbaya kwa afya yako ya uzeeni.
 
Nitaangaika kwa mwanamke ambae kaja kwangu anashida ya mgegedo.lakini kama alikuja ana shida ya ela na kugehedwa,basi hiyo moja yenyewe shida,tena kwa sekunde
 
Back
Top Bottom