Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa na wajukuu zangu....... nyie acheni tu, Huyu bibi yenu jana si akanitenda. Mwenyewe nikakoma na ulabu wangu kumkichwa. Juzi Jumamosi nlichelewa kurudi home baada ya kutandika mtungi wa...
34 Reactions
200 Replies
12K Views
huu ni mwezi wa mapenzi tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi je upo kwenye mapenzi na mtu? kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au...
23 Reactions
486 Replies
33K Views
Habari JF, Yaani sasahivi najuta kuendekeza ngono kila siku maana kilichonipata sio kitu kizuri. Leo hii nina siku nne siendi kazini kwa maumivu ya mgongo. Kiukweli naumia sana maana daktari...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna kipindi enzi hizo baadhi ya wanawake ilikuwa tukifika chumbani perfomance haikuwepo kabisa yani unajikuta umekaza dakika 20 hufiki ushamaliza mchezo!. Kuna huyo mmoja nilikua hata nikiamua...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwanini wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye kipato? Masikini tutaenda wapi? Kwanini hamuwezi kutuendeleza? Kututafutia kazi au biashara? Mnataka mama wa familia au hela?
12 Reactions
74 Replies
7K Views
Tukapewa nafasi au sharti kuwa kama unataka kuoa u - apply upya? Je uta apply ili urudiane na mwenzio? Au utakimbilia ndoa mpya? Tuwe wakweli wana ndoa kwa jinsi ndoa zilivyo kwa sasa na...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanajamvi Mimi nipo hapa kuna mwanamke ninampango wa kumuoa. Sasa ninataka kutoa posa na bahati mbaya sijawahi kuposa wala kuona mtu akipeleka barua ya posa. Naomba kuuliza je, 1.Ni nani hasa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naendelea kuwakumbusha tu kwamba valentine day inaangukia jumatano ya majivu.. Ukizini una kesi na Mungu wako KUZINI mpaka PASAKA iishe Mtapambana na HALI ZENU tu
0 Reactions
100 Replies
8K Views
Nimekutana na toto la kinyamwezi leo si mchezo,jamani acheni mwenyezi Mungu fundi bwana, Toto lipo vizuri kitandani,kiuno shanga 20 ,mauno feni Toto linanyege hatari hadi ukiwa una kwichi...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
Straight kwenye mada wakuu. Kuna aina ya wadada flani ambao akili zao ziko upside down sana. Unaweza kumdate, ukapewa burudani Mara moja au zaidi, sasa kichekesho ni pale mmepishana jambo dogo tu...
41 Reactions
240 Replies
22K Views
Heshma kwenu wakuu Wakuu katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua sio kosa lao (wanawake) kujikuta sehemu nyeti zipo wazi bila wao kujua au kushtukia kua malighafi zipo njee...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Habari wadau; Kuna binti hapa mtaani amejifungua siku za karibuni.Huyu binti alihamia hapa mwaka juzi na jamaa mmoja ambaye alikuwa akimpa mapenzi sana na kwa kweli tulipenda couple yao.Binti...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ewe mama Aisha wangu kipenzi cha moyo wangu, najua unafahamu ninavyokupenda tangu ukiwa f6 mpaka leo tuko ndani ya ndoa zaidi ya miaka miwili sasa. Unajua kiasi gani nimespend kukufanya alwayz...
6 Reactions
91 Replies
8K Views
Aalaam wana MMU Kama title inavyojieleza nahisi nina mtihani mkubwa sana kumbadilisha huyu mwanamke,sometimes nafikia uamuzi wa kuachana nae na kuishi kivyangu. Nilikutana nae yapata miaka 7...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Nakumbuka zamani huko miaka ya 70 kuja 80 kuelekea 90 na kumalizia ya 2000 ulikuwa ukifanya tu Mapenzi / Ukingonoka / Ukibaiolojiana na Mdada / Mwanamke basi Yeye mwenyewe atakukatikia Kiuno Nyuzi...
24 Reactions
316 Replies
31K Views
Habarini wanajamvi? bila shaka mu wazima, poleni na majukumu ya kila siku!... baada ya kufuatilia kwa ukaribu sana mawazo ya wadau kwa mda mrefu bila kuwa member humu walau imebidi niwe na...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wadau, Mimi na mchumba wangu tumepanga kufanya harusi yetu mwezi wa nne mwishoni, plan yetu ni kwamba tutafunga harusi peke yake lakini hakutokuwa na send off. Tumeamua hivyo kwasababu...
7 Reactions
41 Replies
13K Views
Siku hizi kuna hili neno ki benten ambalo kijana mdogo aki date na mwanamke mwenye umri mkubwa anaitwa ki benten .. sijajua origin yake n wapi na kwann watu waite ki benten kwann isiwe ki bennine...
4 Reactions
46 Replies
14K Views
Habari zenu Mimi na swali katika mapenzi uwe msichana au mvulana unavutiwa na mtu mfupi au mrefu? Kwamaana wengine wameoa wake warefu wengi wafupi . Ila napenda kujua mitazamo yenu pia .
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za usiku wapendwa I hope mko poa jamani ni bora tuu nife kuliko kuteseka hivi. Niende straight to the point. Ishu ni hivi, mimi naishi Arusha na nilikuwa nafanya kazi A to Z (kwa...
6 Reactions
71 Replies
10K Views
Back
Top Bottom