Dangote the advocate
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 137
- 158
Wadau Nina girlfriend wangu tuna Mwezi mmoja yeye Ana miaka 27 Mimi Nina miaka 29 lakini cha ajabu ananiamkia shikamoo akiwa na rafiki zake lakini rafiki zake wanajua Mimi ni shemeji yao. Hivi hapa nini kinaendelea au nafanywa Awilo Longomba.