MOYO WANGU-1
HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake lakini mavazi yake yanaonyesha asivyo mtu wa dhiki!
Hata kama siyo sana lakini...
Naomba nikiri tu kwamba mimi ni kati ya watu waliofanikiwa kuzurura nchi nyingi za Africa na kuishi nchi mbalimbali naomba niweke wazi kwamba japokuwa wanawake wa kibongo wanachangamoto mbalimbali...
Ninasumbuliwa na tatizo hili la kuchukia wanawake maishani mwangu, hata kama anipende kiasi gani, hata kama ana uwezo wa kifedha kiasi gani, hata awe na sura nzuri kiasi gani, hata awe na kazi...
Hii dunia watu wanapitia matatizo mengi sana! Hasa migogoro kwenye mahusiano na ndoa. Watu wana misongo ya mawazo mno. Mfano mzuri ni mahusiano ya mastaa ambayo huwa wanayaweka wazi mitandaoni...
Kwa uzoefu wangu mpaka muda huu nimebahatika kutembea na wadada kadhaa wenye makalio makubwa, baadhi niliwapenda toka moyoni ila wengine walinivutia tu na misambwanda yao.
Kutokana na utafiti...
Ni utafiti / uchunguzi ambao niliamua kufanya taratibu na kiumakini sana karibu katika Hospitali chache Kubwa na zile za Kati hasa kupitia Madaktari Bingwa ( Specialist Doctors ) wa Uzazi na...
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada ya wiki hii ambayo inahusu mambo 12 wasiyoyapenda wanaume kwa wapenzi au wake zao.
1. KUJIPAMBA KUPILIZA
Mwanamke kama mwanamke ni mapambo ili awe...
Habari za mihangaiko wana JF,
Leo nimekaa na kuwaza jinsi wana dada wanavyotusumbua pindi tunapokua kwenye mizunguko yetu ya kila siku.
Wangapi walishakutana na hiki kituko? Unakuta upo zako kwa...
Habarini wazazi wenzangu na vijana pia,
Embu tujiulize ni wangapi wenye watoto wao ambao wanapenda kuona wakitamanisha wavulana njiani?
Jibu ni hapana, ila kulingana utandawazi ambao...
Wasaaalmu,
Nianze moja kwa moja kwenye tatizo, nimekuwa nikiumizwa kwa kiasi kikubwa na hali hii. Mke anakuwa na visa au sababu ndogondogo za kuwa na ugomvi na ndugu zangu mara wanapotutembelea...
Mark Scott-Crossley
Marehemu Richard Mathebula
Simon Mathebula
Richard Mathebula na Simon Mathebula
Masalia ya nguo na mifupa ya Nelson Chisale
kaburi la Nelson Chisale
Mnamo mwanzoni mwa...
Licha ya kuwepo kwa kasumba au imani kuwa huwezi kupata mke katika mitandao ya kijamii,mimi napingana nalo sababu waliomo humu ndo haohao tunaokutana nao katika mazingira yetu ya kawaida hivyo...
Licha ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana nafasi kubwa ya kuubeba uhusiano ufike kwenye hatua ya ndoa...
Eti kwanini wanaume ndio huwa wanapewa asilimia kubwa kama wamiliki wa watoto wanao zaliwa? Ikitokea mimba mwanaume ndio anapewa lawama za kwanza na majukumu yote ya kulea mtoto kama mhusika mkuu...
Niajeee!
Najua hii ni wiki ya valentine's day ila naomba tuwe makini katika mazingira yetu ya kupigana kazi:
1. USIENDE GUEST HOUSE iliopo karibu na BAR maana kuna mechi ya mpira kubwa sana
2...
This is what they call instant love.....
I'll try my level best to put actions only....
He wired.... dress a smile on Kasie's face.
I receive a parcel... lovers gift inside.
Ticket to where he...
Unakuta mwanamke ameolewa na anapewa mahitaji yote na muwe wake lakini hatulii kwenye ndoa yake, anaanza kurukaruka na wanaume tofautitofauti ambao hawamsaidii chochote zaidi ya kumpotezea tu muda...
Ukiwa na mke ambaye ni mgumu sana kuheshimu, kushuka au kunyenyekea "to be humble and submissive" na kila akiambiwa kuhusu umuhimu wa hilo lazima atoe sababu za kujitetea kwanini hafanyi hivyo na...
Habari za jioni jf!
Kuna baba yangu wa kambo aliemuoa mama mdogo ni rafiki yangu sana na huwa tunakata maji kama mamba Kwa pamoja.
Leo mida hii jioni kuna baa moja maeneo ya river side jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.