Usilie kwanini huolewi, jiulize wanaoolewa wakoje?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Licha ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana nafasi kubwa ya kuubeba uhusiano ufike kwenye hatua ya ndoa.

Mwanaume anaubebaje uhusiano? Nitafafanua! Katika mila na desturi za Kitanzania, mara nyingi mwanaume ndiye anayemuanza mwanamke. Anamuona, anavutiwa naye, anamueleza na ndipo baadaye mwanamke naye anakuja kujibu mapigo ya upendo. Wapo pia wanawake wanaoanza kuvutiwa na wanaume kisha kuanza kuwaeleza lakini ukweli utabaki palepale, mwanaume ndiye atakayefanya taratibu za ndoa.

Hata kama mahari atatoa mwanamke, kiutaratibu, mwanaume ndiye atakayemtolea mahari mwanamke na huo ndio mpango wa Mungu. Mwanaume (Adam) aliumbwa kwanza, mwanamke (Hawa) akafuatia. Ushahidi wa Biblia kwa
Wakristo huu hapa:
“Bwana Mungu akasema, si vyema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”-Mwanzo 2:18, 21-24.
Ongezea na hii kutoka kwa Mtume Muhammad kwa Waislam: “Enyi vijana, aliye na uwezo wa kuoa aoe. Kufanya hivyo kutamsaidia kuinamisha macho yake chini na kuwa mtii. Na utii ni sehemu ya imani.”-Mtume Mohammad. Mifano inatosha?
Ongezea kidogo na huu: “Adam akasema, sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu basi ataitwa mwanamke…Kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.”

MAANA YA MIFANO

Nimetoa mifano hiyo makusudi ili kukukumbusha kwamba mwanaume ana nafasi gani kwa mwanamke, na ikuamshe kuwasoma wanaume wanataka kale ‘kaheshima’ ka kutangulia. Wanawake wengi wamekuwa wakilia, wana kiu ya kuolewa lakini bahati mbaya wanajikuta hawaolewi. Wanalazimisha lakini wapi, mambo yanakuwa yaleyale kila uchao. Rafiki yangu, hakuna sababu ya kutafuta mchawi.

Haihitaji kwenda kwa mganga kusafisha nyota, kikubwa unachopaswa kufanya ni kutathimini ndoa kwa upana wake. Jifunze kupitia wenzako walioolewa.
Jiulize wana kitu gani cha ziada?
Wanaowaoa wanavutiwa na nini?
Wanaume ni watu wa aina gani?
Leo nitakumegea siri. Pamoja na kwamba wanaume wanapaswa kuwaheshimu wanawake lakini asikwambie mtu, wanaume wanapenda zaidi kuheshimiwa.

Mwanaume anapenda kuibeba dhana ya ‘kichwa cha familia’ kwa mikono miwili hivyo ukitaka kumpatia, mpe hiyo nafasi kwa asilimia mia moja uone ‘balaa’ lake. Halafu, kwani kuna ubaya gani ukimzidishia dhana hiyo ya kichwa cha familia hata kama ni mara kumi zaidi? Utajiongezea sifa ya ziada.

Mwanaume anahitaji kuwa na mwanamke ambaye atamsikiliza. Atamheshimu, atampa thamani ya mume katika ndoa yake.

JIFUNZE KWA WALIOTULIA

Ruhusu akili yako ijifunze. Kubali akili yako ikosolewe kupitia wale unaowaona wametulia kwenye ndoa zao kwa miaka mingi. Ukifuatilia kwa undani utabaini wana kitu cha ziada. Mke ana hulka ya kike. Kuwa na haiba ya kike. Amchukulie mwanaume kama kichwa cha familia, hapo mwanaume hapindui. Atakuwa wako daima. Mke anapaswa kuwa mvumilivu. Awe na hekima ya kumsaidia mume. Kuzungumza naye kwa staha. Siyo mwanamke unazungumza na mwanaume kama vile unamsuta, unategemea nini? Mwanamke anaongea maneno machache kwa mumewe, zaidi anakuwa msikilizaji. Hata kama ni kukosoa, anamkosoa mumewe kwa staha.

Mwanamke ukibeba sifa hizo nilizoziainisha, mwanaume lazima akuheshimu. Akupe kipaumbele na ndiyo maana kuna baadhi ya wanaume hawajatulia lakini huwaambii kitu kwa wake zao. Wanatambua thamani ya upole, uvumilivu, busara na hekima kutoka kwa wake zao. Hawako tayari kuipoteza hata iweje. Watahangaika na dunia lakini mwisho wa siku wanafunga breki kwa wake zao.

Wanawake wenye sifa hizo ndiyo wanaopendwa na wanaume. Jitahidi kuwa kama wao. Wewe shughulikia hayo mengine muachie Mungu muweza wa yote atakukirimia.

NIAMINI MIMI Mungu huwa hakosei. Ukiwa na sifa hizo, ukamtegemea yeye, utamtuliza mwanaume hata kama alikuwa na tabia ya kurukaruka. Tukutane wiki ijayo!
 
Kuna wengine hawapendi kuolewa wanatunyima fulsa za kuwaoa Kwa sababu zao binafsi..
Kingine vigezo vyao wanapofanya accessment ya huyo wanaemtaka Hapo ndio shida ipo..
Ndoa ni kalama, ndoa ni wito
 
Kuna wimbo flan ulipigwa stop unaitwa "manungayembe"
mwanamke huolewa kwa uzuri wake wa tabia na heshima
Wakikosa hizo sifa wanabaki kuwa manungayembe
Nyinyi nyote ,,koment zenu..

Neno lakwanza ni "Kuna"......
Neno LA pili mmeanza na " Herufi W ".

kweli duniani watu wawili wawili.
Kuna wengine hawapendi kuolewa wanatunyima fulsa za kuwaoa Kwa sababu zao binafsi..
Kingine vigezo vyao wanapofanya accessment ya huyo wanaemtaka Hapo ndio shida ipo..
Ndoa ni kalama, ndoa ni wito
 
Mwanamke kuolewa ni rahisi sana akipenda, changudoa wa kinondoni au shekilango akihamia Arusha anaweza oleka/olewa kabisa, kwa maana huko hakuna anayemfahamu.
Nakubaliana na wasemao sio wote hupenda kuolewa kwa sababu tofauti tofauti.
 
Hongera kwa kutumia muda wako ,nakuandika Mada bora ambayo kwangu nimada ya siku.

Wote wenye akili, wahitaji na waelewa Watakuelewa kama sio 100% basi watakuelewa kwa asilimia ambazo zitawafundisha kitu Fulani.

Ndugu zangu ,walojikatia Tamaa ,wasojua nini wanachokitaka maishan ,Washindwaji ,wasojua nn wanakifanya , watakuja hapa nakauli kama hizi
[emoji116]
[emoji117] wanaume hata mlambwe vipi hamtulii tu
[emoji117]wanaume wote niwatumbo moja ,mnafanana .( wakat wanasahau wanaume Wa Nchi ya CHINA ndo wanaofanana nandiko humu msemo ulitokea nanisababu niwengi).
[emoji117]Mwanamme hawezi kutulia na mwanamke mmoja.
[emoji117]Mwanamme utamlambaaaaaa lkn atakuacha
[emoji117]Bora maisha yangu ya Usingo.
[emoji117]Kwahayo mashariti nibora nijitafutie maisha yangu kisha nitafute mtoto maisha yaendelee
[emoji117]KUOLEWA SIO LAZIMA
(hapa niwale akina Sizitaki mbichi hizi).
[emoji117]Ndoa kitu gani bana
[emoji117]Mimi nibora saizi nimtunze mwanangu maana ndo roho yangu ,Wanaume wasengee sana.( ingawa kweli wapo wanaume *******)
[emoji117]Sio lazima wanawake Tufanane !!.

Join njema mtoa mada.
 
Nawe pia
 
Uko vizuri wameipata SMS
 
Hahahaha sawa ni kweli aseee ,, kuna dogo baada ya kufanyiwa operation ya Hernia siku ya NNE baadae mkojo ukagoma kutoka , Dogo akaliaaaaa akaliaaaa ,ikabidi arudishwe hospital ,,,

" NinaToka Jana mkojo umebana ila sikojoi "".

Sawa ,mpeleke Bafuni ,fungua bomba hakikisha maji yanamwagika chini , naww ulompeleke pia ,toaa uume njee anza kukojoa ,alafu naww mgonjwa utafanya utakachojisikia [emoji23] sawa ? Sawa.

Haoooo bafuni, baada ya muda mgonjwa anarudi anacheka " Nimekojoa nimekojoaaaaaaaaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aya mrudi nyumban.

"Komenti yako gbefa na ras jeff kapita zimenikumbusha hii kitu ".
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hii Elimu waliyosema ukimuelimisha mwanamke mmoja badala ya kuelemisha ndo inaharibu, saiz wanawake wanajiona na wao ni wanaume, mwanamke anasema bora nibaki singo lakini nipate mtoto mmoja huyo mtoto anategemea apate kwa mwanaume, ustawi wa jamii umekuwa mdogo sana siku hizi ndo maana usishangae ukaja kusutwa pamoja na ushauri mzuri, elimu imefanya wanawake wasioleke maana viburi vimewajaa, wamekuwa wajuaji kwa kila kitu, wamekuwa watu wa mashindano yaani kushindana na mwanaume kwa kila jambo, kiasi kwamba wanaume wanaogopa stress ndoa ikawa ndoana Mimi kwa mtazamo wangu naona shida iko hapo
 
Mpaka mpaka muda huu , Uzi haujachangiwa na mwanamke hata mmoja !!.

Haya ndo unasikiaga ni Maajabu ya JF [emoji23][emoji23]. Sio kwamba hawajauona ,wameuona na Wameusoma kimya kimya .

Shida nikwamba ,Mtoa Mada kaongea Ukweli ,,, nakawaida ya watu hawapendi ukweli.

Sasa wengi wao niwale nilowataja koment namba 7 ,,nikianza na maneno "" Ndugu zangu[emoji23][emoji23]"".
 
Hongera kwa kutumia muda wako ,nakuandika Mada bora ambayo kwangu nimada ya siku.

Wote wenye akili, wahitaji na waelewa Watakuelewa kama sio 100% basi watakuelewa kwa asilimia ambazo zitawafundisha kitu Fulani.

Ndugu zangu ,walojikatia Tamaa ,wasojua nini wanachokitaka maishan ,Washindwaji ,wasojua nn wanakifanya , watakuja hapa nakauli kama hizi
[emoji116]
[emoji117] wanaume hata mlambwe vipi hamtulii tu
[emoji117]wanaume wote niwatumbo moja ,mnafanana .( wakat wanasahau wanaume Wa Nchi ya CHINA ndo wanaofanana nandiko humu msemo ulitokea nanisababu niwengi).
[emoji117]Mwanamme hawezi kutulia na mwanamke mmoja.
[emoji117]Mwanamme utamlambaaaaaa lkn atakuacha
[emoji117]Bora maisha yangu ya Usingo.
[emoji117]Kwahayo mashariti nibora nijitafutie maisha yangu kisha nitafute mtoto maisha yaendelee
[emoji117]KUOLEWA SIO LAZIMA
(hapa niwale akina Sizitaki mbichi hizi).
[emoji117]Ndoa kitu gani bana
[emoji117]Mimi nibora saizi nimtunze mwanangu maana ndo roho yangu ,Wanaume wasengee sana.( ingawa kweli wapo wanaume *******)
[emoji117]Sio lazima wanawake Tufanane !!.

Join njema mtoa mada.
Umechangia kwa ubora uliotukuka
 
Licha ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana nafasi kubwa ya kuubeba uhusiano ufike kwenye hatua ya ndoa.

Mwanaume anaubebaje uhusiano? Nitafafanua! Katika mila na desturi za Kitanzania, mara nyingi mwanaume ndiye anayemuanza mwanamke. Anamuona, anavutiwa naye, anamueleza na ndipo baadaye mwanamke naye anakuja kujibu mapigo ya upendo. Wapo pia wanawake wanaoanza kuvutiwa na wanaume kisha kuanza kuwaeleza lakini ukweli utabaki palepale, mwanaume ndiye atakayefanya taratibu za ndoa.

Hata kama mahari atatoa mwanamke, kiutaratibu, mwanaume ndiye atakayemtolea mahari mwanamke na huo ndio mpango wa Mungu. Mwanaume (Adam) aliumbwa kwanza, mwanamke (Hawa) akafuatia. Ushahidi wa Biblia kwa
Wakristo huu hapa:
“Bwana Mungu akasema, si vyema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”-Mwanzo 2:18, 21-24.
Ongezea na hii kutoka kwa Mtume Muhammad kwa Waislam: “Enyi vijana, aliye na uwezo wa kuoa aoe. Kufanya hivyo kutamsaidia kuinamisha macho yake chini na kuwa mtii. Na utii ni sehemu ya imani.”-Mtume Mohammad. Mifano inatosha?
Ongezea kidogo na huu: “Adam akasema, sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu basi ataitwa mwanamke…Kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.”

MAANA YA MIFANO

Nimetoa mifano hiyo makusudi ili kukukumbusha kwamba mwanaume ana nafasi gani kwa mwanamke, na ikuamshe kuwasoma wanaume wanataka kale ‘kaheshima’ ka kutangulia. Wanawake wengi wamekuwa wakilia, wana kiu ya kuolewa lakini bahati mbaya wanajikuta hawaolewi. Wanalazimisha lakini wapi, mambo yanakuwa yaleyale kila uchao. Rafiki yangu, hakuna sababu ya kutafuta mchawi.

Haihitaji kwenda kwa mganga kusafisha nyota, kikubwa unachopaswa kufanya ni kutathimini ndoa kwa upana wake. Jifunze kupitia wenzako walioolewa.
Jiulize wana kitu gani cha ziada?
Wanaowaoa wanavutiwa na nini?
Wanaume ni watu wa aina gani?
Leo nitakumegea siri. Pamoja na kwamba wanaume wanapaswa kuwaheshimu wanawake lakini asikwambie mtu, wanaume wanapenda zaidi kuheshimiwa.

Mwanaume anapenda kuibeba dhana ya ‘kichwa cha familia’ kwa mikono miwili hivyo ukitaka kumpatia, mpe hiyo nafasi kwa asilimia mia moja uone ‘balaa’ lake. Halafu, kwani kuna ubaya gani ukimzidishia dhana hiyo ya kichwa cha familia hata kama ni mara kumi zaidi? Utajiongezea sifa ya ziada.

Mwanaume anahitaji kuwa na mwanamke ambaye atamsikiliza. Atamheshimu, atampa thamani ya mume katika ndoa yake.

JIFUNZE KWA WALIOTULIA

Ruhusu akili yako ijifunze. Kubali akili yako ikosolewe kupitia wale unaowaona wametulia kwenye ndoa zao kwa miaka mingi. Ukifuatilia kwa undani utabaini wana kitu cha ziada. Mke ana hulka ya kike. Kuwa na haiba ya kike. Amchukulie mwanaume kama kichwa cha familia, hapo mwanaume hapindui. Atakuwa wako daima. Mke anapaswa kuwa mvumilivu. Awe na hekima ya kumsaidia mume. Kuzungumza naye kwa staha. Siyo mwanamke unazungumza na mwanaume kama vile unamsuta, unategemea nini? Mwanamke anaongea maneno machache kwa mumewe, zaidi anakuwa msikilizaji. Hata kama ni kukosoa, anamkosoa mumewe kwa staha.

Mwanamke ukibeba sifa hizo nilizoziainisha, mwanaume lazima akuheshimu. Akupe kipaumbele na ndiyo maana kuna baadhi ya wanaume hawajatulia lakini huwaambii kitu kwa wake zao. Wanatambua thamani ya upole, uvumilivu, busara na hekima kutoka kwa wake zao. Hawako tayari kuipoteza hata iweje. Watahangaika na dunia lakini mwisho wa siku wanafunga breki kwa wake zao.

Wanawake wenye sifa hizo ndiyo wanaopendwa na wanaume. Jitahidi kuwa kama wao. Wewe shughulikia hayo mengine muachie Mungu muweza wa yote atakukirimia.

NIAMINI MIMI Mungu huwa hakosei. Ukiwa na sifa hizo, ukamtegemea yeye, utamtuliza mwanaume hata kama alikuwa na tabia ya kurukaruka. Tukutane wiki ijayo!
Mada nzuri hii mkuu
 
Hongera kwa kutumia muda wako ,nakuandika Mada bora ambayo kwangu nimada ya siku.

Wote wenye akili, wahitaji na waelewa Watakuelewa kama sio 100% basi watakuelewa kwa asilimia ambazo zitawafundisha kitu Fulani.

Ndugu zangu ,walojikatia Tamaa ,wasojua nini wanachokitaka maishan ,Washindwaji ,wasojua nn wanakifanya , watakuja hapa nakauli kama hizi
[emoji116]
[emoji117] wanaume hata mlambwe vipi hamtulii tu
[emoji117]wanaume wote niwatumbo moja ,mnafanana .( wakat wanasahau wanaume Wa Nchi ya CHINA ndo wanaofanana nandiko humu msemo ulitokea nanisababu niwengi).
[emoji117]Mwanamme hawezi kutulia na mwanamke mmoja.
[emoji117]Mwanamme utamlambaaaaaa lkn atakuacha
[emoji117]Bora maisha yangu ya Usingo.
[emoji117]Kwahayo mashariti nibora nijitafutie maisha yangu kisha nitafute mtoto maisha yaendelee
[emoji117]KUOLEWA SIO LAZIMA
(hapa niwale akina Sizitaki mbichi hizi).
[emoji117]Ndoa kitu gani bana
[emoji117]Mimi nibora saizi nimtunze mwanangu maana ndo roho yangu ,Wanaume wasengee sana.( ingawa kweli wapo wanaume *******)
[emoji117]Sio lazima wanawake Tufanane !!.

Join njema mtoa mada.
Umegonga mfupa wa katikati kwa chini....huwa unauma sana
 
Back
Top Bottom