Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano yapata mwaka sasa ingawa kuna baadhi ya siku huwa tunapishana kiswahili na kugombana lakini inapotokea hali hii huwa tunayaongea na kumaliza tofauti zetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naelekea kugive up kwa huyu mwanamke, kiufupi nampenda sana naye anatambua hill ila siku hizi bwana haoneshi kujali kama alivyokuwa akifanya siku zilizopita. Mfano, meseji mpaka nimuanze mimi...
5 Reactions
135 Replies
15K Views
Mwanamke anatakiwa awe na matako makubwa tu ili atoke kimaisha.Hata kama ulipata ziro darasa la saba na ukataga form 4 hiyo haijalishi.Yani mtaji unao halafu umeukalia Kama una wowowoo na...
2 Reactions
44 Replies
9K Views
Siku ya leo imeisha vibaya kwangu. Kitendo ambacho amekifanya msichana wangu wa kazi kimenighafirisha sana. Huyu dada ninaye hapa ni mwezi wa tatu sasa. Nyumba ninayoishi ina 3 rooms na kimoja ni...
20 Reactions
407 Replies
39K Views
Habari JF, Vijana wengi hasa wale wanaoanza mapenzi hawafamu vizuri hatua za uvaaji kondomu, hii upelekea matumizi mabaya ya kondomu. Kondomu inaweza chanika hivyo kupata maambuki ya magonjwa ya...
3 Reactions
45 Replies
17K Views
Mmmmmmhhh yaaani kilichonitokea jana usiku looh,sina hamu Kasinde mie.... Kama kawaida yangu baada ya kutoka job nimeongia home kwangu baada ya mazoezi ya yoga nikaoga nikapata light dinner yangu...
3 Reactions
144 Replies
25K Views
Habari Jf Aisee ndugu zangu ...kuna mke wa Askari hapa jirani na anapoishi...mama yangu....amekuwa tatizo kwangu..Yaani Mimi kila inapofikaga siku ya Jumapili uwa nina utaratibu wa kwenda...
7 Reactions
224 Replies
22K Views
Habar wakuu Leo ni siku ya Valentine naona watu wengi haswa watu Wa Instagram wameivalia njuga siku ya Leo. Wanadai ni siku ya kufulaia mapendo kwa wapendwa wao..wanasema ni Upendo Wa dhat...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana MMU, Nimekuja hapa kuomba msaada baada ya kukutana na mitafaruku kibao maishani. Namshukuru Mungu bado na kapumzi so naweza fanya kitu. Kuna kitu nimekiona kwenye mahusiano mengi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nawasalimu sana wote! Moja kwa moja kwenye mada ya leo! Kisaikolojia hili ni tatizo (ugonjwa) Uliwahi kutokewa au kusikia MTU ana sahau mke wake sehemu, mtoto wake, gari, pesa nyingi, au kitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Jf Yaani Tangia nipate kuoa sasa hivi Akili yangu Imetulia na_enjoy maisha...hapa kilichobakia nikutafta bi mdogo mwakani ili nifanye suna Allah nisaide ili nikija kuifikisha miaka 23...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL) Ni hivi: Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo...
11 Reactions
149 Replies
10K Views
Habari members, Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani...
1 Reactions
160 Replies
102K Views
Wakuu. Kwa nini kama ulikuwa kwenye mahusiano halafu baadae ikatokea mkasalitiana na kuachana kabisa. Ila kila mmoja au mmoja wenu lazima abaki kuwa na maumivu sana moyoni jambo ambalo...
10 Reactions
135 Replies
15K Views
nakumbuka,siku moja tulichati mpaka majogoo,,ila saiv,mh!! kwanini lakn mwanzoni tunakuwa na mbwembwe sana?
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamii forum IT atuwekee alama maalum kwa siku hii,mfano, ua,rangi nyekundu,or any other
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za usiku huu wa kuamsha popo waungwana. Niende moja kwa moja kwenye mada... Kawaida ya wapendanao hawapendi kuambizana kweli hata kama anapotea. Unapotaka kumwambia mpenzi wako ukweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza, Katika hali ya kustaajibisha kumeibuka wimbi la matumizi ya vijana na ugoro! Moja nilishuhudia mkoani Arusha na Dodoma baada ya kukutana na marafiki kadhaa ambao...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
BONIFACE BIRAGE KOMBORA KIOTANI-37 Tulipoishia Kilua agundua maadui wa taifa lake na wahujumu rasilimali za taifa.Atafanyaje kuwajua nakuwadhibiti.Je,ataweza kuwa fahamu wote waliohusika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom