Ushauri: Valentine Spesho

Ushauri: Valentine Spesho

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Niajeee!

Najua hii ni wiki ya valentine's day ila naomba tuwe makini katika mazingira yetu ya kupigana kazi:

1. USIENDE GUEST HOUSE iliopo karibu na BAR maana kuna mechi ya mpira kubwa sana

2. Mwanamke usitegemee vikuuubwa sana toka kwa Mpenzi wako maana maisha tayari ni magumu

3. Wanaume muwe waskilizaji zaidi kuliko kuwa waongeaji sana, wanawake tunapagawa tukipata mwanaume msikilizaji, hii inasaidia ku-"come" mapemaaa.. if u know what i mean

4. Haina haja ya kuchepuka na kuingia mitini na mume wa mtu, usipende kulazimisha vitu vyote ufanyiwe ndani ya wiki hii kumbuka huyo mchepuko ni Mume/Mke wa mtu ana ndoa yake

5. WALIO SINGO - wewe lala tu nyumbani kwako au angalia Tatu mzuka kwenye TV au Nenda KUPAKA MAJIVU ULALE UNASALI KUJIANDAA KWA KWARESMA MFUNGO SIKU 40. USIJIPIGE BAO AU PUNYETO ABEG!

6. WALIO OA/OLEWA - Tusitegemee makuubwa sana kwa wapenzi wetu, mapenzi hayaanzi tar 14, kila siku kwako iwe ni Valentine!

7. KWA MASISTER / PADRI - Itumieni Vizuri siku ya Valentine maana ndio j5 yetu ya majivu!

8. Kwenye relationship zenu - Mjitahidi muwe Proposed jamaa tukimaliza Mfungo wa kwaresma tunataka ndoaaa mmeskia nanilii mdogo wangu Miss Natafuta na mdogowangu lara 1 Jiwedogo Vladmir Putin Kyalow na Tarime one ... (kidding but serious)

Jamani maisha yamekuwa magumu tupunguze kufumaniana saaana, sasa ukifumaniwa unadhani nani atakutoa jela? labda Money Penny atakuletea Chai!

Nawatakia Valentines Day njema... Mimi nimefichwa Hyatt Regency Zanzibar... mkiona sileti Hadithi ontime tuvumiliane, alhamisi narudi God Willing kwa spoeed ya 4G

Niajeee!

Najua hii ni wiki ya valentine's day ila naomba tuwe makini katika mazingira yetu ya kupigana kazi:

1. USIENDE GUEST HOUSE iliopo karibu na BAR maana kuna mechi ya mpira kubwa sana

2. Mwanamke usitegemee vikuuubwa sana toka kwa Mpenzi wako maana maisha tayari ni magumu

3. Wanaume muwe waskilizaji zaidi kuliko kuwa waongeaji sana, wanawake tunapagawa tukipata mwanaume msikilizaji, hii inasaidia ku-"come" mapemaaa.. if u know what i mean

4. Haina haja ya kuchepuka na kuingia mitini na mume wa mtu, usipende kulazimisha vitu vyote ufanyiwe ndani ya wiki hii kumbuka huyo mchepuko ni Mume/Mke wa mtu ana ndoa yake

5. WALIO SINGO - wewe lala tu nyumbani kwako au angalia Tatu mzuka kwenye TV au Nenda KUPAKA MAJIVU ULALE UNASALI KUJIANDAA KWA KWARESMA MFUNGO SIKU 40. USIJIPIGE BAO AU PUNYETO ABEG!

6. WALIO OA/OLEWA - Tusitegemee makuubwa sana kwa wapenzi wetu, mapenzi hayaanzi tar 14, kila siku kwako iwe ni Valentine!

7. KWA MASISTER / PADRI - Itumieni Vizuri siku ya Valentine maana ndio j5 yetu ya majivu!

8. Kwenye relationship zenu - Mjitahidi muwe Proposed jamaa tukimaliza Mfungo wa kwaresma tunataka ndoaaa mmeskia (kidding but serious)

Jamani maisha yamekuwa magumu tupunguze kufumaniana saaana, sasa ukifumaniwa unadhani nani atakutoa jela? labda Money Penny atakuletea Chai!

Nawatakia Valentines Day njema... Mimi nimefichwa Hyatt Regency Zanzibar... mkiona sileti Hadithi ontime tuvumiliane, alhamisi narudi God Willing kwa spoeed ya 4G
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom