Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,400
Ukiwa na mke ambaye ni mgumu sana kuheshimu, kushuka au kunyenyekea "to be humble and submissive" na kila akiambiwa kuhusu umuhimu wa hilo lazima atoe sababu za kujitetea kwanini hafanyi hivyo na justifications nyingi sana za kuhalalisha kutoheshimu au kutojishusha kwake basi fahamu umeoa mwanamke sio mke.
Sio kila mwanamke ni mke, wake wanaifahamu ndoa wanawake wanaijua tu ndoa. Wake kwenye ndoa wamekuja kuishi, wanawake wamekuja kukaa. Wanawake hata hapa mapovu yatawatoka ila wake wataielewa.
Najua ni makali lakini yanaponya.
[HASHTAG]#ChrisMauki[/HASHTAG]