Ninasumbuliwa na tatizo hili la kuchukia wanawake maishani mwangu, hata kama anipende kiasi gani, hata kama ana uwezo wa kifedha kiasi gani, hata awe na sura nzuri kiasi gani, hata awe na kazi nzuri kiasi gani. Sana sana akinisumbua sana nitaishia kufanya naye mapenzi mara moja ndo kwaheri.
Sina nafasi moyoni ya kuendeleza mahusiano yakawa productive kwa upande wa pili sijui ni mkosi gani, mara nyingi ninapokutana na mwanamke (mfano kwenye public transport, maofisini, kanisani au popote pale kwenye kusanyiko) tukaongea, tukafahamiana na kupeana mawasiliano nikijifanya kuanzisha utani kidogo wa mambo ya mapenzi fasta mwanamke anajaa nikikaa nipange list kwa wiki mbili hivi si chini ya tano wameshaingia kwenye 18 zangu, kila mmoja ananiuliza aje lini kwangu.
Background:
Niliishi maisha ya ujana (teenager mpaka late 20s) nikiwa mpole sana na katika mazingira ya dini sana sikujihusisha na mapenzi mpaka siku ya ndoa yangu. Baada ya miaka takriban 5 mambo yalianza kwenda mrama niliumia sana baada ya kuona true colour of women nilikuwa napatwa sana na hasira, ila background yangu ya dini ilinisaidia kuepuka kufanya jambo baya, maana sinywi, sivuti sigara (in short siyo mtu wa anasa).
Siku nilipoamua kuchepuka, ndipo nilipoharibu.
Nilinogewa sana hata nikaonyeshwa mapenzi ambayo nilikuwa siyajui na sikuwahi kupata kwenye ndoa. Niliumizwa na usiri wa mahusiano yasiyo rasmi, kwa sababu niliona ni starehe ya muda mfupi nikifikiri huyu ana mtu wake wa kudumu na siwezi kuwa naye milele niliumia zaidi, niliona kama nimemwagia moto petroli wakati mwingine niliwaza nikinogewa zaidi hofu ya kufumaniwa ilikuwa inakuja kichwani nikaamua kuachana na michepuko.
Sasa:
Nimebaki na maisha yangu yasiyoeleweka naipenda familia yangu napenda watoto wangu, nawatunza nawajali sana haijawahi kutokea familia yangu ikatetereka kwa kukosa mahitaji yoyote ila sina hisia tena na ndoa (kwa maana ya tendo la ndoa) hata nikikaa miezi sita bila kwenda home sioni shida in short am fed up.
Hivi karibuni nimetoka kugombana sana na dada mmoja tulifahamiana katika mazingira ya kikazi zaidi mawasiliano yalivyoongezeka nikaona mtoto anajiingiza kichwa kichwa nikajaribu kuficha uhalisia wangu tukawa tunachat nikaanza kuignore wakati mwingine nakaa hata siku nne sijamsalimu.
Akawa anakasirika sana, na mimi niliona ndo fursa ya kuachana aendelee na maisha yake inafika wakati ananiaga kwa hasira kuwa tuachane nisimtafute tena, maana sijali hisia zake, mimi nanyamaza baada ya wiki anaanza tena kunitafuta ananibembeleza kumbuka hapo hatujafanya lolote bado.
Ni wengi wananisumbua kwa style hiyo aKilini mwangu nimeshafuta file la "love" na badala yake limebaki la "sex" naweza kumsaidia mwanamke kwenye shida flani (lets say fedha), akatatua tatizo lake, na yeye akatumia hiyo fursa kujisogeza kwangu unexpectedly, naweza kumuacha tena bila hata kufanya mapenzi na ndipo wengine hunichukia bila sababu.
Imefika hatua najiuliza nifanyeje nijifunze kupenda tena? This is just addiction, like any other addictions.