Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Habarini wazazi wenzangu na vijana pia,
Embu tujiulize ni wangapi wenye watoto wao ambao wanapenda kuona wakitamanisha wavulana njiani?
Jibu ni hapana, ila kulingana utandawazi ambao umetuathiri wakubwa na wadogo tunachukulia poa. Leo hii inafikia mda mtoto wa kike akianza kurudi nyumbani saa tatu usiku unajifanya mkali, kwanini uwe mkali ni kwasababu hutaki aharibikiwe kwenye maisha yake.
Ni wangapi wanaanza kuwazoesha watoto zao kuvaa nguo za kutamanisha angali wadogo? Jibu ni wengi, ila hivyo siku akikuwa na kuanza kuzifanyia kazi nguo zile utaona kama anakudhalilisha wakati wewe ndo uliemuweka katika mazingira hayo. Wanaume wanasubiri wapate chanzo wamalize mimba za utotoni hazitaisha abadani.
Naomba mnielewe jinsi ya upangiliaji wa maandishi tatizo nilikimbia umande.