Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Unakubaliana na Chris Breezy?" Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown "Sidhani kama ndoa ina maana yoyote...
21 Reactions
76 Replies
4K Views
Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana. Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa...
29 Reactions
302 Replies
37K Views
Kwema wakuu Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi: Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike. Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile...
59 Reactions
610 Replies
15K Views
Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After...
15 Reactions
74 Replies
2K Views
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school...
25 Reactions
143 Replies
8K Views
Kitu gani ulikifanya wakati hisia za mapenzi zimekukolea ukikumbuka unajicheka mwenyewe? Kama hujawahi kuchanganywa na hisia - Jibu swali lolote kati ya haya tuzogoe; Ulifanya nini kumsahau...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
MZUNGUKO WA MAISHA WA MWANAMKE WA KISASA (MALAYA) Umri wa Miaka 12-15: Anaanza kufungua miguu yake kwa wavulana wa shule ya sekondari na kuanza kupata uzoefu mwingi wa kingono. Umri wa Miaka...
66 Reactions
128 Replies
7K Views
Akili za hivi viumbe ni hatari said msuya nakuita mara tatu 😁 kwisha kwisha.
1 Reactions
7 Replies
589 Views
Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho...
27 Reactions
94 Replies
3K Views
Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu. Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu)...
22 Reactions
135 Replies
5K Views
1. Zamani : Mwanamke anakutana na mwanaume kakonda hana mwili, kimoyomoyo " huyu mwanaume hana mtu anayemtunza hadi ana dhoofu afya nipambane niolewe nae nimtunze hadi apendeze" Sasa : Mmmmhmn...
14 Reactions
102 Replies
4K Views
Kufunga ndoa na mwenza sahihi ni mbinu kubwa ya kufanikiwa kwenye maisha yako. Furaha na amani zitakupa energy kubwa sana ya kutimiza malengo na mafanikio. Jambo hilo muhimu wazazi wengi walezi...
4 Reactions
3 Replies
275 Views
Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi. Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Kusaidiana kupo tu katika maisha haya apa na unaweza kumsaidia mtu yeyote mwenye uhitaji pasipo kujali jinsia wala kabila. Kuna tabia wanayo baadhi ya wanawake ukipatia Msaada tu anatafuta njia...
2 Reactions
7 Replies
373 Views
Nguvu nyingi wekeza kwenye kujua unataka nini ili usiendelee kusumbuka na kila chaguo linalopita mbele yako kwa sababu unaweza kusema hujaona chaguo lako kumbe tayari lilikuja ukapishana nalo kwa...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
Mwanaume mwenzangu tuachaneni na uchaguzi wa ndani wa CCM labda tuunge mkono NRNE Apa ni kufunguka bila aibu je ulianza kufanya mapenzi ukiwa na umri gani honestly Mimi nikiwa na miaka 17 Na...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
1.mwembamba 2.mnene 3.macho makubwa 4.macho madogo 6.nyashi kubwa 7. V-shaped face 8. Oval face shape 9. Miguu wa bia 10. Curved shape 11. Mfupi 12. Mrefu 1. Mcharuko 2. Mbea 3. Mpole 4...
4 Reactions
116 Replies
3K Views
Back
Top Bottom