Kwakweli limekuwa ni jambo la kushangaza sanaaa, katika nyakati za sasa, kwa kuona wanawake si wasichana tu bali hata watu wazima hata wengine wameolewa, wanapapalika na kufuga kucha zao za...
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia...
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single...
Kwa upande wangu wanawake kausha damu huwa ni kero sana yani nimekutongoza leo,leo leo unaomba hela kana kwamba ulikuwa unajua nitakutongoza.
Kwa vile huwa nina uhtaji mkubwa wa mbunye huwa natoa...
Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba...
Kwa wale wakazi wa kilwa na maeneo ya karibu yake nadhani mtakuwa mnalijua au mmeshakulisikia jina hili la Enji Bin Nuuti inasemekana kwamba jamaa alikuwa ni mtu wa kale sana aliyetokea kaskazini...
Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako
Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako
Jitahidi ujipange, hata...
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.
Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo...
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa...
Habari wakuu,
Ngoja nianze kwa kusema tuwe sana makini kwenye starehe au furaha za muda mfupi.
Okay Dj piga biti ni tembee na bit, Juzi kati nimetika Town (k.koo) kwenye mishe zangu za hapa na...
Habari zenu wana JF.
Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.
Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo...
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote...
Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura...
Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.
Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta...
habari wadau.
nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu.
kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake...
Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema.
Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada.....
Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana...
Mwanamke Kama mwanamke uliyeolewa na mwanaume wako akakuheshimisha tulia visasi havisaidii badala yake vinabomoa
Angalia hapa: Mwanamke unaamua kulipa kisasi kwa mumeo kwa kucheat kwa sababu na...
1.Kunyimwa tendo la ndoa.
2.Kauli mbaya kutoka kwa mke ,
3.Dharau kutoka kwa mke ;
4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi.
4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine.
5.Mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.