Wakuu,
Kijiwen nnakopata riziki kwa mbele kdg kuna kijiwe Cha bao na draft huwa wanapaki bodaboda, Nikiwa Sina kazi huwa napenda kukaa pale Kupiga story na kubadilishana mawazo na vijana.
Kuna...
Ndugu salam
Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo
Nayasema haya...
Habari wana JF! mimi si member mpya katika kijiwe chetu pendwa ila nimeweka ID mpya sababu ya kulinda kujulikana ni nani maana wengi wananifahamu ID yng humu JF.
Jamani wakuu naombeni msaada...
Vidume wenzangu eeehh, wake/ wapenzi wetu ni mapambo yetu, ndio maana wanatumia gharama nyingi nyingi kujieremba ili watuvutie sisi.
Sasa kwa sisi ambao tuna wake/wapenzi ni jukumu letu...
Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani.
Na katika experience yangu niliowaona...
Salaam,
Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena.
Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?
Ni...
Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la...
Habari wakuu,
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.
Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.
Wanaume wengine hukutana na msichana...
Mtu anayejitambua huwa hawi na marafiki walewale muda mrefu ni nadra
Marafiki huja na kuondoka kutokana na hali iliyopo kipi mnashirikisha
Rafiki akija shukuru na akiamua kuondoka shukuru
Watu...
Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka...
Wakuu,
Usiku wa Juzi nilivorud nyumbani,
MKE wangu alinipokea kwa uchangamfu na bashasha kubwa Sana,nami baada ya Lile tukio la sintofahamu ya laini mpya hivi karibuni, nilishajiapiza sitopanic...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mama Ayubu mkazi wa mtaa wa Banda mbili Kata ya Sombetini Jijini Arusha, anadaiwa amemuua mume wake aitwae Daudi Estomii (45) ikiwa ni baada ya kuwepo kwa tuhuma...
Kijiweni hapa Nyasaka!
Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke.
Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na...
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja...
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo,
Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu.
Mnamo Mwaka 2015
Nilikutana na binti wa...
INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na...
Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana...
Jamani usisikie kitu kinaitwa walokole.
Nilikuwa na rafiki chuo nilitokea kumuamini kisa anajua maombi.
Nilikuwa naye beneti sana kila ijioni anaenda maombi . Muda nwingi ukimpigia yupo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.