Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
46 Reactions
381 Replies
12K Views
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
6 Reactions
102 Replies
3K Views
Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake. Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini? Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Mastar wanavyoteseka na mapenzi... Tuanzie hapa BONGO kwetu, BONGO kama BONGO, yaani ukija kwa wasanii wakubwa kama ZUCHU analia jamani huko...
5 Reactions
13 Replies
619 Views
Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe...
18 Reactions
48 Replies
1K Views
Dah kweli papuchi inalipa Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Ujumbe wa J2. Mwanamke popote ulipo mruhusu Mume wako aishi mkumbushe kuishi hiyo ni haki yake ya msingi anastahili kuishi Kuna wanaume wanatia huruma anakuwazia mema anatumia kila alicho nacho...
3 Reactions
4 Replies
449 Views
MTU MBINAFSI MWENYE KUJIPENDA PEKEAKE(NARCISSIST) Narcissist ni mtu ambaye ana tabia ya kujipenda kupita kiasi na kujiweka mbele ya wengine. Watu hawa mara nyingi wana mawazo ya juu kuhusu nafsi...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Asa...
35 Reactions
95 Replies
5K Views
Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana. Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana. Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
26 Reactions
204 Replies
9K Views
Wakuu #noreformsnoelection Kuna mdada mmoja nilikutana naye maeneo ya kazini nikamuelewa nikarisha ndoano akatick baadaye sana nilikuja gundua ni mke wa mtu kwa maelezo yake mumewe hakai wilaya...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa...
17 Reactions
126 Replies
4K Views
Katika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi...
17 Reactions
219 Replies
9K Views
Bro, Ni kweli wanawake wapo wengi sana duniani kuliko sisi wanaume Lakini ukifika muda wa kutafuta MKE - ndipo utagundua wanawake ni wachache mno hapa duniani Kumpata mwanamke wa maisha, wa...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde. Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Sex imetengeneza na kuharibu empires. Imeharibu mipaka na kutengeneza mipya Sex imeshinikiza na kuhimiza Sex imeliza na kumaliza Sex ni expensive sana, hata kama ukiipata free, Consquences zake...
7 Reactions
20 Replies
952 Views
Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
No reforms no election Tuweni wakweli tu ndugu zangu Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha...
12 Reactions
150 Replies
5K Views
Back
Top Bottom