Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki...
WANAOPENDA SANA MAHABA
Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya...
Nilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa...
Wajomba leo sina habari za kijiweni.
Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua...
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili
Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake...
Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya...
Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda;
Happy birthday
Valentine’s day
Happy new year...
Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto.
Kama ni mwanaume
-Ongeza mke...
Wadau kama taito inavyojieleza hapo juu.nackia hii pombe inafanya mgegedo uwe wimawima mwanzo mwisho kuna ukweli wowote.
Karibu tuchangie,
Lugha za staha ndo mpango mzima kama hauwezi kutumia...
Wakuu.
Kuna tabia za wanawake walio wengi kukataa kutembea na mpenzi wake mtaani
Mara nyingi utasikia "mtaa wa makumbusho me siendi huko labda tuende mtaa wa salamanda/ tutaenda siku nyingine"...
Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema.
Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada...
Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili ....
Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu
Mimi muda huu...
Katika maisha ya kila siku, huwa tunakutana na watu wa aina mbalimbali—wenye upendo, huruma, upole, kujali, na pia wale ambao ni wakatili kimya kimya, wenye kujipenda kupita kiasi, wasiojua...
Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri...
Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na...
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF...
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.