AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Kusaidiana kupo tu katika maisha haya apa na unaweza kumsaidia mtu yeyote mwenye uhitaji pasipo kujali jinsia wala kabila.
Kuna tabia wanayo baadhi ya wanawake ukipatia Msaada tu anatafuta njia ya kukutunuku kama shukrani nani kakuambia kila mtu anataka kutunukiwa.
Mfano Juzi Kati apo kuna msichana alikuwa anasumbuliwa na kichwa baada ya kumpa dawa za akiba nilizokuwanazo za kutuliza maumivu, naona anatafuta mazingira ya kunitunuku kiukweli nimechukia sana.
Itafika hatua tutaogopa kuwasaidia sio lazima kurudisha fadhila kwa namna isiyofaa.