Msaada: Mke kazidi ubinafsi sijui nifanyeje

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,067
Habari wakuu,

Bila kupoteza muda naombeni ushauri haraka sana kabla sijafanya maamuzi ya mwisho, ni hivi mimi nimekua kwenye uchumba na mrembo wangu kipenzi kwa miaka mitatu na mpenda na ananipenda in short tunapendana sana na tunaaminiana sana.

Mwanzoni wa penzi letu tuli enjoy sana ila mwenzangu alihisi kuna kitu namnyima maybe na kula ujana kwanza ndo maana simchangamkii sana kumbe na mimi nilikua najipanga kwa majukumu si unajua tena swala la kuchagua wa kuishi na kufa nae sio dogo sasa hakufurahishwa ila nilikua na lengo jema, nilikua nafanya maamuzi sahihi.

Mwaka wa pili nae akaanza vimbwanga, ndipo mihasira ikanijia kwa ghafla nikajiuliza kwanini hivi? Kwanini tusile mibata na kufurahia ujana kabla uzee haujaingia kama tutajaliwa pumzi na maulana? Matokeo yake penzi linakua chungu wala sijamfanyia usaliti au chochote kibaya?

Nikaja kubaini bwana huyu bibie ni egocentric/mbinafsi/mtu anayejipenda yeye tuu pasipo kujali hisia zangu.

Dah! Niliumia sana ila kwa kua nishampenda na kumkabidhi moyo wangu sikua na jinsi zaidi ya kumvumilia tuu mambo yasonge coz tuna katoto kamoja.

Nikasema nikiachana naye mimi nitakua mbinafsi pia sababu sitamjali huyu malaika coz bado ni mdogo ana mwaka mmoja na nusu, malezi ya bila baba na mama yake halisi sio mazuri kwa kweli.

So nikavaa roho yangu ya ukwere japo ni maisha ya kitanzi sina jinsi wala sina mpango wa kando “mchepuko” wala mapombe huko japo nijifariji. Nitakomaa na msalaba wangu mpaka mwisho.

Nilichokipanga ni kumnyoosha huyu mwanamke kwa njia za kitaalamu maana hakuna mfupa uliowahi kunishinda na ukinishinda uanaume wangu utakua umeshuka kwa asilimia 80%.

Hebu wakuu nisaidie namna ya kuondoa ubinafsi/kujipendelea zaidi toka kwenye nafsi ya huyu kiumbe. Maana lengo la kuwa pamoja ni kuliwazana, kusaidiana na kuendeleza lile jukumu la maulana “zaeni muongezeke muijaze dunia” Sisi ni vijana bado nina miaka 25 na yeye 23, nina degree na yeye diploma, nimemuoa mwaka jana 21 January 2017.

NB: Hii ni jambo la kweli maishani mwangu. Sisi ni wakristu tunamuamini Mungu kabisa wala hakuna influency ya shetani wala wasiotupenda, ni sisi wenyewe yani.

Nitashukuru kwa chochote.
 
.. Familia ya nyoka haizai panya, huyo ana msingi wa ubinafsi toka kwao, komaanaye tu kumbadilisha ni kulazimisha ki azam kisome star times.
 
nahisi kuna vitu hujavieleza vizuri
huo ubinafsi ni wa aina gani

labda anajipenda sana
au anakunyima utamu

hebu fafanua kidogo
 
Ndio kwanzaaaaaaaaaaa kumbe,mwanamme anatakiwa awe na stahmala,yani uvumilivu subra na hekima hasa kwa mwanamke,mapenzi yako wewe ndio yatamfanya anyooke au apinde,mdekeze mkeo mwenyeshe kua unamjali,msifie anapofanya zuri,na hata akikosea basi mwambie kwa hekima mkewa wangu hapa sio sawa fanya hivi ndio sawa,ila ukilipuka na yeye analipuka inakua tabu..
 
Mpime group lake LA damu kama ni group o jua ni group la ubinafsi

Kama sio group o unaweza kum treat

Kama ni o unaweza kupinguza tu jiandae
 
Acha kutuonelea mkuu. Mbona mi group O ila sio mbinafsi. Ubinafsi ni tabia ya mtu tuu.
 
Imebidi nicheke tu....
Wewe ulivgomfanyia ubinafsi yeye alikufanyeje?

Achana nae oa mwingine.
 
Miaka 25 ushaoa na tsyari una watoto na umesoma mpk chuo dah umeyawah sana maisha mkuu hongera sana
 
nahisi kuna vitu hujavieleza vizuri
huo ubinafsi ni wa aina gani

labda anajipenda sana
au anakunyima utamu

hebu fafanua kidogo
Nazungushwa pale napotaka mzigo sasa nasema kuna maana gani wakati ye ni mke wangu?
Najiuliza asiponipa yeye atanipa nani?

Muda mwingine matatizo wanayatafuta wenyewe.
 
Ingekuwa vyema kama ungetoa mifano ya huo ubinafsi unaouzungumzia
 
akili zenu bado mbichi hazijakomaa..... only 25 ? atleast 30 huko ningejushauri jambo....

utazeeka kabla ya umri, kichwa kinabeba mambo mazito kwa wakati mmoja, huu ni muda wa kujipanga kiuchumi usimame vizuri, bahati mbaya ama nzuri umetanabaisha hapo ni mtu wa pwani, ni kawaida yenu sana mnayakimbilia mapenzi, mwisho unakuja hapa kulia lia, msalaba huo ubebe.
 
Imebidi nicheke tu....
Wewe ulivgomfanyia ubinafsi yeye alikufanyeje?

Achana nae oa mwingine.
Hapana mkuu mimi namfanyia vyote na najitahidi sana kutimiza wajibu wangu hata kama naumwa!
Sipendi usaliti niko mwaminifu sana, muda wote niko macho!
Ningelikua mtu wa kukurupuka ningeshabwaga manyanga mda sana
 
Nazungushwa pale napotaka mzigo sasa nasema kuna maana gani wakati ye ni mke wangu?
Najiuliza asiponipa yeye atanipa nani?

Muda mwingine matatizo wanayatafuta wenyewe.

Kwa hiyo huduma nyingine zote zipo poa kasoro kukupa mzigo tu?
 
Ndio kwanzaaaaaaaaaaa kumbe,mwanamme anatakiwa awe na stahmala,yani uvumilivu subra na hekima hasa kwa mwanamke,mapenzi yako wewe ndio yatamfanya anyooke au apinde,mdekeze mkeo mwenyeshe kua unamjali,msifie anapofanya zuri,na hata akikosea basi mwambie kwa hekima mkewa wangu hapa sio sawa fanya hivi ndio sawa,ila ukilipuka na yeye analipuka inakua tabu..
Mimi furaha nayoipenda sana hapa duniani ni ngono mkuu hakuna kingine!
Asilimia 80% ipo kwake nafanya kila kitu kumfurahisha... kwa muda tuliokaa nae najua mahitaji yake so najitahidi kuyatimiza. Ila ubinafsi wake ni kero kwa kweli... anachokitaka ni kunizungusha mm niwe kama kichaa ndio afurahi sasa hili nimeshindwa
 
Kwa hiyo huduma nyingine zote zipo poa kasoro kukupa mzigo tu?
Yes huko kwingine kuko vizuri ila kunipa mzigo ananizungusha sana + kuniendesha mm sipendi unajua mm ni mtu wa haraka haraka so aki delay naumia sana, imagine muda wote niliomvumia?
 
akili zenu bado mbichi hazijakomaa..... only 25 ? atleast 30 huko ningejushauri jambo....

utazeeka kabla ya umri, kichwa kinabeba mambo mazito kwa wakati mmoja, huu ni muda wa kujipanga kiuchumi usimame vizuri, bahati mbaya ama nzuri umetanabaisha hapo ni mtu wa pwani, ni kawaida yenu sana mnayakimbilia mapenzi, mwisho unakuja hapa kulia lia, msalaba huo ubebe.
Mkuu hatuja kurupuka! wote tunaingiza vipato na tulijiandaa pia kabla ya kufanya michakato!
Kuhusu umri ndio tuliokua tunataka! Suala la kubeba mambo mazito ni vichwa vya watu tu mkuu, ishu ni kupevuka mapema ndio maana darasani wapo wanaokua wa kwanza wengine mkia! So hatulingani utashi...
Mimi hili swala la ubinafsi limenishinda nikaona sio mbaya kushikisha na wenzangu walau wote tufaidi...
 
Habari wakuu,

Bila kupoteza muda naombeni ushauri haraka sana kabla sijafanya maamuzi ya mwisho, ni hivi mimi nimekua kwenye uchumba na mrembo wangu kipenzi kwa miaka mitatu na mpenda na ananipenda in short tunapendana sana na tunaaminiana sana.

Mwanzoni wa penzi letu tuli enjoy sana ila mwenzangu alihisi kuna kitu namnyima maybe na kula ujana kwanza ndo maana simchangamkii sana kumbe na mimi nilikua najipanga kwa majukumu si unajua tena swala la kuchagua wa kuishi na kufa nae sio dogo sasa hakufurahishwa ila nilikua na lengo jema, nilikua nafanya maamuzi sahihi.

Mwaka wa pili nae akaanza vimbwanga, ndipo mihasira ikanijia kwa ghafla nikajiuliza kwanini hivi? Kwanini tusile mibata na kufurahia ujana kabla uzee haujaingia kama tutajaliwa pumzi na maulana? Matokeo yake penzi linakua chungu wala sijamfanyia usaliti au chochote kibaya?

Nikaja kubaini bwana huyu bibie ni egocentric/mbinafsi/mtu anayejipenda yeye tuu pasipo kujali hisia zangu.

Dah! Niliumia sana ila kwa kua nishampenda na kumkabidhi moyo wangu sikua na jinsi zaidi ya kumvumilia tuu mambo yasonge coz tuna katoto kamoja.

Nikasema nikiachana naye mimi nitakua mbinafsi pia sababu sitamjali huyu malaika coz bado ni mdogo ana mwaka mmoja na nusu, malezi ya bila baba na mama yake halisi sio mazuri kwa kweli.

So nikavaa roho yangu ya ukwere japo ni maisha ya kitanzi sina jinsi wala sina mpango wa kando “mchepuko” wala mapombe huko japo nijifariji. Nitakomaa na msalaba wangu mpaka mwisho.

Nilichokipanga ni kumnyoosha huyu mwanamke kwa njia za kitaalamu maana hakuna mfupa uliowahi kunishinda na ukinishinda uanaume wangu utakua umeshuka kwa asilimia 80%.

Hebu wakuu nisaidie namna ya kuondoa ubinafsi/kujipendelea zaidi toka kwenye nafsi ya huyu kiumbe. Maana lengo la kuwa pamoja ni kuliwazana, kusaidiana na kuendeleza lile jukumu la maulana “zaeni muongezeke muijaze dunia” Sisi ni vijana bado nina miaka 25 na yeye 23, nina degree na yeye diploma, nimemuoa mwaka jana 21 January 2017.

NB: Hii ni jambo la kweli maishani mwangu. Sisi ni wakristu tunamuamini Mungu kabisa wala hakuna influency ya shetani wala wasiotupenda, ni sisi wenyewe yani.

Nitashukuru kwa chochote.
Muulize baba/mlezi wako yoyote unaemuamini wa kiume, je mke wake ni mbinafsi na anaishije nae?
Wanawake walioolewa wana kawaida ya kuonesha tabia za kibinafsi ila sio wabinafsi.
Tena miaka mitatu, we onesha to umebanwa utaona.
Unahitaji akili sana kuishi na mwanamke.
Pia Kuna kitu wanaita PMS hua inatokea wiki moja kabla ya wao kuingia mwezini, hua wanakua na mambo ya ajabu kweli. Atafanya jambo utabaki unajiuliza Kama anakupenda kweli, lakini ni mchanganyiko wa homoni tu na si vingine.
NB : HATA MIMI HUA NATAMANI NIKIMBIE, ILA NI NANI BORA WA KUISHI NAE KAMA SI HUYU NILIENAE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom