Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Sasa kama hao wana mimba na wewe unataka upewe mimba au.? Hebu tuliza ball hayo mambo yapo tu
 
Pole. Ila ni wakati wa kutubu na kumrudia Mungu huku ukiwa responsible kwa matendo yako. Karibu duniani braza
 
Your wish is my command badilisha kwanza mawazo yako your thoughts become things
 
Its called Karma.

Pole though. Tujifunze kufanya mema na kuachana kwa wema kabisa sio lazima kubaki maadui.
Kabisa Mkuu karma sio nzuri....hivi inatokaje hii kitu??
 
Pole. Ila ni wakati wa kutubu na kumrudia Mungu huku ukiwa responsible kwa matendo yako. Karibu duniani braza
Asante detective hii issue inanitesa sana...najiona sifai sahizi
 
Mkuu yani wote wamenikimbia hata wa kuzugia nakosa....Ndo maana nkahisi labda Mungu amenichapa bakora
Jifunze kutokuumiza wengine kihisia bila hvo malipo hapa hapa unaweza kuja kutulia ukaoa, mkeo akawa anakuumiza, tubu waombe msamaha hata kiujanja machozi ya wanawake si mazuri
 
Jifunze kutokuumiza wengine kihisia bila hvo malipo hapa hapa unaweza kuja kutulia ukaoa, mkeo akawa anakuumiza, tubu waombe msamaha hata kiujanja machozi ya wanawake si mazuri
Mkuu nimeamini hichi kitu...natamani ningetulia maana maskini watoto wa watu walikuwa poa tu....
 
Back
Top Bottom