msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, nadate na mke wa mtu sasa mimi nilijua ni siri yangu na yeye, nashangaa juzi ameniambia nimsindikize mahali vuuuuuuuh tunafika nakuta nimeandaliwa chakula kumbe ni nyumbani kwao.
Nimemkuta mama yake amefurahi kweli, anasema nimesikia mambo yako mwanangu nawatakieni mafanikio kwenye safari yenu, endelea kumtunza mwanangu. Daaaah nikabaki nakenua kenua meno tu maana sikujua hata niitikie vipi isee.