JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Kuna tabia sehemu yenye mkusanyiko wa watu wanaofahamiana, mfano maofisini, mtaani, kwenye maflat unakuta mdada mmoja katembea na wanaume hata 10, yeye kwa ujinga wake anakuwa anadhani ni siri kuwa hao wanaume hawajuani au hawajui, kwa taarifa yenu huwa tunawajadili, msidhani kwamba huwa hatujui.