Kuna jamaa yupo na mchumba kwa kipindi kisichopungua miaka kumi ingawa kuna miaka kama miwili hivi walipotezana kimawasiliano....
Na katika kipindi hicho WALICHOPOTEZANA bi dada alipachikwa...
Wakuu wasaalam.
Juzi kati nilikutana na mrembo huko facebook. Kupitia picha alizoweka "nikashawishika" na "kuhamasika" kutoa mwaliko pasipo shuruti. Alionekana ni demu aliyekidhi vigezo vyangu...
Ilikua majira ya jioni nilipotoka nyumbani kwetu mtwara kuelekea dar es salaam.Kuna demu Fulani ambaye tulisomanaye shule ya msingi jina lake Monica nilikua namzimia mno hasa kwa uzuri wake pamoja...
Yaani kila Binti au Mwanamke wa Kilokole ikitokea ' umetongoza ' tu utamsikia anasema umpe muda aende akaongee na Mungu wake Kwanza na kwamba atasubiria sauti ya Kiroho itakayomwambia kama labda...
Wakuu kiujumla huwa siandiki sana issue za maisha yangu binafsi hasa za mahusiano.
Jana Katika pita pita zangu nikakutana na girlfriend wangu niliedumu nae kwa miaka miwili akiwa na kijana wa...
miaka ile ya 90 iliibuka issue moja ya jini liliokuwa likijulikana kwa jina maarufu POPO BAWA. wengi walikuwa wadogo au bado hawajaja huku Town (Dar) nakumbuka mimi nlikuwa nasoma miaka ile...
Mara nyingi imekua ni kawaida kusikia kuwa mama mwenye mtoto mdogo akiganya mapenzi na mtu baki au hata baba wa mtoto bila utaratibu maalumu, mtoto huweza kuathirika(kubemendwa). Je sababu ni nini...
Za usiku wakuu
Tangu niandike sitasahau nimekuwa muoga sana wale wenzetu wa jinsia ya ke
Sa hivi Niko kazini na manzi mmoja hivi cheupe.
Napambana na nafsi nimfuate tuyajenge nifanyeje?
Ushauri...
Sijui kama ni kumlinda kijana,au ni wivu,maana asilimia kubwa ya wazazi tumepitia maisha hayo,nini kinawafanya wazazi kuchukia wanaposikia vijana wao wapo kwenye mahusiano?
HATUA TANO ZA PENZI
(Ingawa wengi huishia hatua ya tatu)
“Inawezekana hakuwa wakwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia...
Habari wakuu,
Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya wanaume wanachepuka, hilo halina ubishi( na sisi wanawake tunajua hilo). Ila mnapoamua kuchepuka, hebu jaribuni kuchagua michepuko...
Habarini za siku wana jamvi.
Hapa nilipo nimepitia mengi sana kuhusu mapenzi, nimekuwa na mahusiano na wanawake wengi sana. Wa muda mchache na wa muda zaidi ya mwaka mmoja.
Mwaka 2013 nilipanga...
Umeolewa lakini wanaume bado wanakutongoza na kusema wanakupenda. Ukiachika kwa mumeo ndio utajua kwamba wanakupenda au laah
Hawatakushobokea,
We unafikiri ni kwa nini?
Je mtu akienda kujitambulisha ukweni anaenda mwenyewe na wawakilishi na barua au inatangulia barua kwanza harafu yeye ataenda siku ya kupeleka mahali?
=========
Inategemeana kabila na kabila...
Hii ni kwa wanaume. Kama umeharibu kwa mke, mpenzi au rafiki wa kike kwa namna yoyote ile kuna njia nyingi za kuomba msamaha. Kuna wale wanaume wagumu sana kusema sorry nimekosea na wanawageuzia...
Maisha yana mengi sana na ili kufanikiwa katika maisha muhimu uzingatie hivi vitu vikuu vitatu
1.Muombe sana Mungu yaan sali kwa imani haswa ili mambo yako yaweze kukunyookea hapa uvumilivu pia...
Kama hujawahi kuambiwa lini una nafasi nikutoe dinner!? Ama jiandae weekend hii kwa kinywaji ama dinner... Kaogee maji ya bahari... Kumbuka yale yana chumvi na chumvi hutakasa na kuondoa...
Wadau mimi ni msichana nina miaka 25 kiukweli sijui mapenzi ya mama wala ya baba na kwenye hii dunia najiona nipo peke yangu.Mama yangu alitengana na baba mimi nikiwa mdogo sana nahisi miaka 3 au...
Habari wana JF,
Kuna msichana nlikua na husiano nae ya pata miezi 11 tulipendana sana lakini mwenzangu akaanza kubadilika.
Akawa kupiga simu mpaka nimuanze, kuna siku niliamua kumtania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.