kwa Muda kadhaa kwenye mtaa mmoja kwenye viunga vya jiji la dar es Salaam, ameibuka mwanadada mrembo na kuweka kituo kandokando ya barabara kwa shughuli inayosadikiwa kuwa anajiuza.
ikifika...
Mwanaume Kama unania ya dhati kuwa na economic freedom in this tough economy basi inatakiwa uepukane na wale wanawake aina ya “Babe nina njaa, nibebee Pizza au Chips kuku asisahau kuweka...
Kilichotokea leo sintokaa nisahau kamwe.
Iko hivi, nilikuwaga na kamchepuko kangu pembeni ambako huwa napozea maumivu nnapozidiwa japo huwa sina mpango wa kukaoa maana nnaishi na mtu...
Wana MMU
Kiukweli nilizaliwa na kulelewa katika mazingira ya kistaarabu, ya kujali utu , nimekua naishi na watu vizuri kwa wakati huo still nipo na wazazi
But wazazi walipotangulia mbele za...
Baada ya kuhamia ktk shule moja mkoani Kilimanjaro (jina kapuni kuepuka wasiojulikana) maisha yangu yalibadilika kutokana na maisha niliyoyakuta.
Visa vya mtungo, kutoroka shule usiku na kurudi...
Huwa nashangaa sana unakuta mwanaume anataka mdada mzuri, mwenye sura nzuri, shape na wowowo na waliosoma sijui degree etc.
Hapo ukicheki dada zake wabaya shapeless wameolewa na mahari ndo...
Mke wangu mtarajiwa (sijui uko wapi sasa), nafahamu uko sehemu salama na ukivuta muda na 'jamaa' mwingine kabla hatujaoana kwa nderemo na vifijo..., Lakini kabla sijakuweka ndani kuna yenye kutoka...
C&P
Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho.
Una mahusiano na John. Lakini unampenda sana Simon...
Habari za jioni!
Wake au wachumba tulioachana nao huwa wanatuombea mabalaa yatufike.Je mwenzangu yamekufika au umezidi kufanikiwa? Mimi nimetusua dua yake haikufanikiwa?
Nina miaka 23, ndio kwanza nimeanza kupambana na maisha baada ya masomo.
Napenda kuwa na friends zaidi wa kike tupeane changamoto zaidi. Ukiwa interested ni PM... [emoji108] [emoji108]
Im 27 years old, ila bado morali ya kuoa sina kabisa licha ya wadada wengi kuonesha nia na hitaji lao la kuolewa na mimi.
Nikiwa kama kijana Mkristo ninayeamini kupitia dhehebu langu la kanisa...
Rejeeni tu hicho Kichwa cha habari hapo juu halafu anzeni Kutiririka na Kuserereka kwani nilichokiuliza hapo kimemtokea sasa hivi ' Njemba ' mmoja hivi na kibaya zaidi ni Ijumaa tu ametoka...
Wadada wamekuwa na kawaida ya kuposti picha kwenye mitandao huku wakibinua chura kwa nyuma au kubinua kifua kwa mbele..sijui ni kwanini
Nadhani kungekuwa na dawa ya kufanya nyapu...
Wakuu JF, Amani iwe nanyi
Kwanza kabisa nipende kutambua kuwa humu JF kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa watu mbalimbali kama utajipa nafasi na muda wa kufanya hivyo.
Nina kisa ambacho...
Ni tukio ambalo nimekuwa nikikutana nalo sana mara kwa mara tena sehemu nyingi ambapo utamwona Mwanaume ameongozana na ama Mpenzi au Mke wake mwenye mkoba wake ( Handbag ) kisha ukiwaona wako...
Habari zenyuu,
Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.
Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.