Ujio wa Popo Bawa ni Kipindi ambacho wanandoa wakiume walikuwa wanalala na wake zao hawana amani kabisa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
miaka ile ya 90 iliibuka issue moja ya jini liliokuwa likijulikana kwa jina maarufu POPO BAWA. wengi walikuwa wadogo au bado hawajaja huku Town (Dar) nakumbuka mimi nlikuwa nasoma miaka ile nikiwa na ufahamu wangu timamu na uelewa wa mambo mbali mbali.

ukanda huu (upwa wa afrika mashariki hususani tanzania na zanzibar) lilizuka dubwana lililokuwa likifahamika kwa jina la POPOBAWA.Hili bazazi,baradhuli , na laana kum kabisa lilikuwa limeamua kufanya uhayawani ule usiomithirika kwa jamii ya kiume pasina haya. wazee miaka hiyo ilifikia hatua asubuhi walikuwa wanakwepana maana ilikuwa ni aibu isiyo na kifani machoni na masikioni mwao.

Popobawa alisababisha wanaume wengi washindwe kulala na wake zao kwa amani na hata pale walipolala nao hali zao zilikuwa ni za mashaka na kupata usingizi wa mang'amu ng'amu.imagine unashtuka usiku mkali unajigusa au mkeo anakugusa sehemu zako za haja kubwa anakuta kuna urojo rojo kama wa yai bichi. ndo nyingi zilivunjika au kuingia kwenye migogoro. maana ilikuwa popobawa anapoitembelea nyumba husika yeye atamwingilia mwanaume (kitu ambacho si halali hata kidogo) na akifanya tendo hilo atampasulia yai ( kumwachia manii ) hivyo ilikuwa wanaume wanaamka wakiwa wameloana sehemu zao za nyuma kama vile mtu aliyepasuliwa yai.

sharti lilikuwa moja tu. ukitembelewa na lijamaa hilo popobawa lazima ukatangaze ikiwa hutaki akurudie tena usiku uliofuata. hivyo mwanaume kama ni baba mwenye familia inabidi jioni uwaitishe wana familia kikao cha dharura baada ya kula na useme wazi kuwa "jamani mwenzenu usiku wa kuamkia leo nimetembelewa na popobawa"baada ya hapo mhusika ataamka kwa unyonge na kuelekea chumbani. kulikuwa hakuna maswali. watoto mkisikia hivyo mnajua "mzee tayari kavunjiwa yai" kama alikuwa ni mkorofi sana kimoyo moyo mnashangilia kuwa naye amekomolewa. kuanzia hapo unakuta mzee mhusika anakuwa na nidhamu sana kwa familia yake. ikiwa mtu alikaidi kutangaza basi usiku uliofuatia alitembelewa tena. na akikaidi anatembelewa tena, akikaidi anatembelewa tena na tena na tena. mpaka autangazie umma.

mbaya zaidi kama hujaoa hapo inabidi ukawaambie washkaji kijiweni. waliokuwa wameoa angalau ilikuwa inasaidia siri za familia kubaki ndani. imagine unaenda kijiweni kuwaambia washkaji " wadau mi usiku wa kuamkia leo nimevunjiwa yai na popobawa" kuanzia hapo wana kucheck kwa jicho gani? miaka ile ilibidi mamentali wawe wanalala na kipande cha mfupa wa nkitimoto ili kumzuia popobawa asije.inasemakana hakuwa na urafiki na jambo hilo. sasa kwa sisi wabishi wa hiyo kitu nadhani miaka hii tungekuwa na option moja tu .. kuutangazia umma.

kama una mzazi wako aliyekuwa dar miaka hiyo muulize habari hiyo umsikie majibu yake. wadau tumetoka mbali sana . tukumbuke kuswali kabla ya kulala. ili kuepusha mapopobawa wasifanye uharibifu kwenye ndoa zetu.
 
Miaka hiyo nakumbuka nilikuwa nimeenda dsm kwa shughuli flan nikaamua kufikia mbagala chalambe kwa jamaa yangu Juma ili ni_save ghalama za guest!
siku taty baada ya kufika hayo mambo ya popobawa wenu yakapamba moto,nilitamani kuondoka ila pesa ya guest nilikuwa nimeongezea kwenye kununua mzigo so ilibidi nikae mpaka muda wa gari kuondoka....niliishi kwa wasiwasi kuliko kipindi chochote katika maisha yangu nikijiuliza yakinikuta nitaanzaje kuwasimulia wanyalukolo wenzangu maana yule mpuuzi alikuwa akikuingilia sharti lake ilikuwa ujitangaze......

wawatu walilala katika makundi na majinsi + mapanga ila bado popobawa alifanya ushenzi wake
mwanzo tuliaminishwa kwamba ni nadhalia tuu ila nilikuja kuamini baada ya jamaa fulan alipoingiliwa maana dalili zote alikuwa nazo+alijitangaza.
 
Sie tulikokuwa Mikoani tulikuwa tunasikia tu hiyo kitu.Pole yao hao wanadarisalama wote waliovunjiwa hayo mayai. Teh

Ila huwa siamini kama ni kweli alikuwepo mie naona walikuwa wanatishana tu na kujazana uoga.
 
Haha sitaki kukumbuka ikifika saa tano usiku unasikia tu kelele huyo huyooo kapitaa huyooo hapo Uwiiii unatamani upae
 
ulikuwa umeshavunja ungo??????????? :):):):):):p:p:p:p:p na mambo mambo ulikuwa ushaanza yafahamu? natafuta mke mweny eexperience ya miaka mingi kama hujaolewa rafiki unaweza kudondokewa na bahati hii..

Sikuwa Mdogo kivile Ila nilikuwa Binti niliyokwisha balehe
 
ha ha ha.. kwa wao ni sawa sisi wanaume tunapaswa kuwapasulia wakati pasipo kusita sita.
Mbona wanawake kila siku wanapasuliwa mayai lakini hawalalamiki?

Wanaume acheni kulialia
 
Popobawa kawaharbu Sana wanaume na wavulana wa dar, ndo mana una shogaz wengi
 
Hahahaa mi ninavyodhan alikuwa mtu ambae alikuwa anatumia nguvu za kichawi labda kutokana na maagano yake aliyopewa na wakuu wake na baada ya kutimiza ashki yake aliacha na saiz anaendelea na maisha yake ila naamini siku ya kiama ikiwa video za dhambi zetu zikioneshwa kuna watu watazua ugonvi mbele ya mwenyezi mungu maana haiwezi kutokea nikaona mtu alieawahi kunifanyia ufilauni wa aina hii nikiwa simjui leo hii anadhihilishwa mbele yangu walahi ngoja niendelee kunoa panga langu maana siku ya kiama nitawajua maadui zangu na hapo ndo watanieleza kwanini wananifedhehesha mamake..
 
Back
Top Bottom