Ushauri wa haraka

Ushauri wa haraka

primolut N

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
391
Reaction score
317
Za usiku wakuu

Tangu niandike sitasahau nimekuwa muoga sana wale wenzetu wa jinsia ya ke

Sa hivi Niko kazini na manzi mmoja hivi cheupe.
Napambana na nafsi nimfuate tuyajenge nifanyeje?
Ushauri wenu plz alafu tuko wawili na mlinzi yuko nje hapa kituo Fulani cha afya.
 
Unaweza kuta wewe ni mwanaume wa dar, sie wa mikoani ungekuta tumeshamaliza mambo kitambo.
 
Back
Top Bottom