Ushauri: Nimeachana nae lakini amenipa vitisho

Ushauri: Nimeachana nae lakini amenipa vitisho

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
568
Habari wana JF,

Kuna msichana nlikua na husiano nae ya pata miezi 11 tulipendana sana lakini mwenzangu akaanza kubadilika.

Akawa kupiga simu mpaka nimuanze, kuna siku niliamua kumtania kwa kumwambia tuachane alicharuka na kukazania tuachane.Tukiwa kwenye mipango ya kuachana akawa ananitisha kama hivi;

71acdcc682bb76a3384c44c45e35132f.jpg

Yaan saiv nkiumwa malaria najua teari nshatumiwa virus wa uganga
a4c4c9f28b74bad03d8cc0a79b1b0b8c.jpg

NOTE🙁tuache ya kupijwa ya jana)
 
Bit tu hizo. Tena bit nyepes kAbisa. Hizo ni hasira tu,akitulia atajiona mjingA kweli.
Ww endelea na shughuli zako wala asikutishe
 
Endelea na ujinga wenu

Mimi naskiliza Motor sport ya migos ft cardi b na minaj muda huu.

Kuwa single raha sana sometimes
 
Bit tu hizo. Tena bit nyepes kAbisa. Hizo ni hasira tu,akitulia atajiona mjingA kweli.
Ww endelea na shughuli zako wala asikutishe
Nashukuru sana mkuu
Ila mara paap amenishusha kibusha
 
Mabinti wengine ni walu walu sana anaweza kukuloga kama yeye akiwa mchawi ila kwa kutegemea waganga hamna kitu
 
mzee upo mkoa gani usikute umeangukia pale nipopaacha maana alikua ananiambia kwao wanauchawi yeye ni mrithi
 
Mabinti wengine ni walu walu sana anaweza kukuloga kama yeye akiwa mchawi ila kwa kutegemea waganga hamna kitu
Maana hlo beat
Alichezek afu ukichek ni vitoto vya tang mi naogopa busha dah
 
Kitu kimoja weka akilini

Anayetaka kukufanyia ubaya hatangazi na hakwambii hufanya tu inapobidi

Anakutisha tu japo na wewe unaendelea kumentertain ungekaa kimya kwa muda uone
 
Bado anakupenda umebaka penzi rudianeni mfute tofauti zenu mtaishi kwa muda mrefu mrudie kuhusu uchawi anaye kuloga hakwambii utaona matokeo huyo bado unamchanganya mwambie arudi mkuu muanze upya kitu
 
Mmh.! Kurud dah.! Itakua si vyema
 
Wote bado watoto...

Mkikua mtaacha...
Kama kweli mmeachana, mnaendeleza chit chat za nini?

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom