kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Kuna jamaa yupo na mchumba kwa kipindi kisichopungua miaka kumi ingawa kuna miaka kama miwili hivi walipotezana kimawasiliano....
Na katika kipindi hicho WALICHOPOTEZANA bi dada alipachikwa mimba na jamaa mmoja hivi wa kitaa. Sasa hiv bi dada yupo na mtoto wake mkubwa sio chini ya miaka 6....
Lakini baada ya mda mawasiliano yalipo rudi tena bi dada akaficha kama yupo na mtoto kwa kipindi kirefu kidogo lakini ilifika siku bi dada akaona afunguke.... Si unajua tena gia za kuingilia bi dada alianza kulia kwanza mfululizo kwa mda usiopungua masaa matatu pasipo kutaja sababu....
Baada ya kuulizwa kwa upole na mpenz wake... Mara aka anza.. "mume wangu GuDume kile kpnd tulipopotezana kidogo mwenzako niliteleza bahati mbaya na mtu mwingine hadi nikapewa uja uzito na kwa sasa niko na mtoto.. Samahani sana mume wangu"
Jamaa akahamaki na kushtushwa na hiyo taarifa hakuamin ila alipofuatilia akajua kuwa ni kweli.
Sasa kanifuata mimi KALENGA KIDAMALI nimpe ushauri, sasa kutokana na stress nlizonazo na jua hili lilivo kali ukiongeza na uchovu wa huko shambani ambako jembe linadunda kwa ukavu wa ardhi wakati wa kupiga NGWAMBA (kupalilia) nimeshindwa hata nimshauri nini...
Nimeona nije huku nichote busara zenu kuwa eti jamaa aendelee nae au amtupilie mbali, ingawa alipojua kuwa yupo na mtoto ni mda kidogo ila jamaa anachokiogopa ni kufunga nae pingu za maisha ingawa kwa sasa bado yupo nae ki aina... JAMAA AMUOE AU AFANYE UAMUZI MWINGINE NA JE AZINGATIE NN KATIKA MAAMUZI YOYOTE ATAKAYOYAFANYA JUU YA HUYO MAMA MZAZI WA MWENZAKE KWA SASA?