Wakuu Kiafrika mtoto wa kike hana faida kwa family yake original. Nasema hivi kwa sababu nimechunguza thamani ya mwanamke wa Kiafrica hupungua pale tu anapoolewa ndo maana wazee huwa wanakomaa...
Kila mtu ana ndoto zake na pia ni furaha ya mtu kuitimiza ndoto yake!
Tangu nipo mdogo nilikuwa na ndoto za kuoa binamu yangu nilidhani may be ni utoto, lakini ndoto hii kamwe haijawahi kutoka...
JF ina magwiji na wabobezi wa kila aina, kuna magwiji wa mapenzi kama si mahaba, kutongoza, kukata viuno, kusimamia kucha dk 90 pasi na kuvuta pumzi, siasa na mambo kadha wa kadha.
Mara kadhaa...
Wakuu sana,
Naomba kuuliza hivi ni muda ambao mwanaume anatakiwa awe katika urafiki na mwanamke, ndipo aende kujitambulisha na kutoa mahari upande wa mwanamke!
Naomba kuuliza jambo hili!
Makinika na tahadhari ya pichanaomba radhi kwa wale wote ambao hawatapendezwa na maudhui ya picha....
Cha mtu sumu... Jihadhari yasikukute... Hujui katoka naye wapi na wamepitia mangapi...
Story inaanza hivi mwenyewe mtoto wa kiswazi katika harakati zangu za kusaka noti maeneo nikakutana na mtoto wa kishua,mtoto mashalah, tako tako ,hipsi zimejazia,katupia pamba kali inshort ana...
Hbr wakuu
Nina mwanamke wangu ambae anapenda sana hela..yeye haoni aibu kukuomba hela hata mala mbili kwa Siku..
Wiki ya pili sasa amekua akiniomba hela bila mafanikio ...nimekua nikimwambia SINA...
Kuna MTU kazaliwa kwa ajili ya wanawake tu, yaani kila ataemwona anachanganyikiwa huku nyumbani kaacha mke, lkn pia wanawake nao wanapenda kumshobokea yaani akipita pahala tu lazima wadada...
Habari wakuu,, ni maswali gani uliwahi ulizwa na wazazi/ndugu zako ulipoenda kuwambia kwa mara ya kwanza umepata mchumba anataka aje kujitambulisha/kumtambulisha home? Karibuni kwa michango.
In short nina rafiki yangu alikuja kunitembelea ninapoishi na kwa vile bado sijaowa (single father)kwa vile nimepanga nyumba nzima ilikuwa ni mwendo wa kuwa free tu,basi baada ya kumaliza shughuli...
Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje, yaani nimeamka asubuh nimeenda job nimeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,
Kila kitu kiko ndani,friji imejaa nyama, kila kitu, mchele uko ndan...
Ninategemea kuhama kwenye hii nyumba ninayopanga in the next two weeks.
Najua ntapelekea kilio kwa mwenye nyumba kwa kuwa, nilikuwa nampa pesa yake kwa wakati na kwa jinsi vyuma vilivyobana...
Kama heading inavyojieleza ndugu zangu niko na mchumba hapa ambae naweza nikasema ni kama mke wangu mtarajiwa ,
Kiukweli sina muda mrefu nae sana tangu nianze kuishi nae pamoja kama mume na mke...
Hii ni inshu ya kweli siyo story wala nini ni kitu ambacho kilinitokea muda kidogo kipindi hicho niko moto na Mapenz Si mnajua ujana kuna kile kipindi cha foolish Age.
Basi bwana nilikuwa na...
1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua[emoji23][emoji23]
2. Kwenye kupenda; mwanaume...
Nina mke niliyeoa miaka 10 iliyopita. Nimezaa naye watoto 3. Hajawahi kunifanyia kosa lolote. Sijawahi kumkamata na mchepuko japo yeye amenibamba kama mara 2 na michepuko kwenye simu. Lakini kwa...
Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kuwashauri wanaume wenzake kuacha kuwa na mahusiano na wanawake wasiokuwa na mawazo ya kupambana na hali ya uchumi wa maisha na badala yake...
Kwangu binadamu ni kama kitabu!,kitabu kilichosheheni mafungo na vifundo.
ukiwa mtoto mchanga kila unachokiona unakishangaa huku ukinakili kwenye akili,kuna upande vizuri kuna upande vibaya...