Napenda kufahamu muda sahihi wa urafiki hadi unapoamua kutoa mahali kwa binti

kwetumasoko

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
866
510
Wakuu sana,

Naomba kuuliza hivi ni muda ambao mwanaume anatakiwa awe katika urafiki na mwanamke, ndipo aende kujitambulisha na kutoa mahari upande wa mwanamke!

Naomba kuuliza jambo hili!
 
Wakuu sana,

Naomba kuuliza hivi ni muda ambao mwanaume anatakiwa awe katika urafiki na mwanamke, ndipo aende kujitambulisha na kutoa mahari upande wa mwanamke!

Naomba kuuliza jambo hili!
Muda wa kumaliza kulima shamba inategemea na ukubwa wa shamba lenyewe na bidii ya mlimaji angalia yote mawili kwa pamoja ila kama ardhi ni ngumu na haijanyeshewa umande basi huenda ikawa ngumu kidogo.
 
Muda wa kumaliza kulima shamba inategemea na ukubwa wa shamba lenyewe na bidii ya mlimaji. Angalia yote mawili kwa pamoja ila kama ardhi ni ngumu na haijanyeshewa umande basi huenda ikawa ngumu kidogo.....
Kuwa itakuwa ngumu kwenda kutoa mahari?
 
Anatafuta justification ya kujizungusha zungusha kama hamtaki binti wa watu a mwambie sio kupotezeana muda ili kama hamtaki apate MTU mwingine..
Kwa hiyo hata wiki moja katika mahusiano inabidi uende ukamlipie mahari?
 
Kuwa itakuwa ngumu kwenda kutoa mahari?
Nimeandika nikimaanisha kuwa wewe ndio mwenye shamba/Mkulima, unajua kama muda uko okay au lah tukisema uende kumbe bado hamjazoeana na kufahamiana vizuri utakuja utulaumu. Decide
 
Hakuna fomula kuna wanaoenda baada ya miaka 6,5,4,2,1,mwezi,siku au saa inategemeana unaweza subiri miaka 6 mkaoana mkashidwana baada ya mwezi naweza kujitambulisha baada ya mwezi mkaishi hadi kifo kiwatenganishe fanya unachokiamini.
 
Nimeandika nikimaanisha kuwa wewe ndio mwenye shamba/Mkulima, unajua kama muda uko okay au lah....tukisema uende kumbe bado hamjazoeana na kufahamiana vizuri utakuja utulaumu. Decide
Swadakta mkuu, nimekuelewa!
 
Hakuna fomula. Kuna wanaoenda baada ya miaka 6,5,4,2,1,mwezi,siku au saa. Inategemeana. Unaweza subiri miaka 6 mkaoana mkashidwana baada ya mwezi. Unaweza kujitambulisha baada ya mwezi mkaishi hadi kifo kiwatenganishe. Fanya unachokiamini.
Sasa hapo mkuu wa kuamua ni wewe, au mwanamke? Nauliza hivo kwa sababu kuna wanawake wanang'ang'ania kwenda kutolewa mahari wakati mmekaa kwenye mahusiano kwa muda mfupi, let say three months
 
Sasa hapo mkuu wa kuamua ni wewe, au mwanamke? Nauliza hivo kwa sababu kuna wanawake wanang'ang'ania kwenda kutolewa mahari wakati mmekaa kwenye mahusiano kwa muda mfupi, let say three months
Changanya na zako.
 
Back
Top Bottom