Napendwa sana kwanini???

Napendwa sana kwanini???

ager de don

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
621
Reaction score
320
Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na wanawake tofauti tofauti. Iila cha kushangaza kila mwanamke ninaemdate ananipenda mno hadi nawaonea huruma.

Mwanzo nilijua kwa vile sio mzuri wa sura nikaamua kugeukia upande wa pili nikajipatia katoto kazuri kila mtaa wanamkimbia kwa uzuri alonao mashallaah! Sasa haka ndo kananipenda hadi nataman kukaacha ila roho inaniuma sitaki nikaumize. Sijajua wananipendea nini hawa totos. Nawasilisha
 
Nawa maji usoni ili ujue kama bado una usingiz ama la...kama unao endelea kulala na kama huna piga mswaki kisha uende kwa kanisa ili mapepo yakutoke.
 
Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na wanawake tofauti tofauti. Iila cha kushangaza kila mwanamke ninaemdate ananipenda mno hadi nawaonea huruma.

Mwanzo nilijua kwa vile sio mzuri wa sura nikaamua kugeukia upande wa pili nikajipatia katoto kazuri kila mtaa wanamkimbia kwa uzuri alonao mashallaah! Sasa haka ndo kananipenda hadi nataman kukaacha ila roho inaniuma sitaki nikaumize. Sijajua wananipendea nini hawa totos. Nawasilisha

Sasa kama labda huwa unawapitia ' Uvunguni ' Kwao ' Kibaiolojia ' kwanini wasikupende Mkuu? Wewe endelea tu Kuwatagisha Mayai ili wawe wanasimuliana vizuri na wazidi ' Kumiminika ' Kwako. Mwaka wako huu Mkuu hivyo mambo yote ni mbele kwa mbele na kanyaga twende.
 
Mmh. Rafiki leo umeamua kujilipua. Lol.

Hongera sana kama ni kweli ila ndio na wewe uwe unapendeka sasa sio unapendwa huku wewe hupendi.
 
Sasa kama labda huwa unawapitia ' Uvunguni ' Kwao ' Kibaiolojia ' kwanini wasikupende Mkuu? Wewe endelea tu Kuwatagisha Mayai ili wawe wanasimuliana vizuri na wazidi ' Kumiminika ' Kwako. Mwaka wako huu Mkuu hivyo mambo yote ni mbele kwa mbele na kanyaga twende.
Hahahaha asante kwa ushauri genta
 
Hahahaha asante kwa ushauri genta

Uwe unakumbuka tu ' Kujifukuzia ' Udi ule wa Dubai au Saudi Arabia ukishakuwa unamaliza ' kuwazibua ' Vyoo Mkuu ili kutengeneza hali ya hewa yenye ushirikiano na mazingira yetu.
 
Back
Top Bottom