Hivi karibuni napeleka kilio kwa mama mwenye nyumba!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,742
Ninategemea kuhama kwenye hii nyumba ninayopanga in the next two weeks.
Najua ntapelekea kilio kwa mwenye nyumba kwa kuwa, nilikuwa nampa pesa yake kwa wakati na kwa jinsi vyuma vilivyobana, nikitoka sidhani kama atapata mtu wa kumpa pesa ndefu kama niliyokuwa namlipa.
Otherwise namtakia kila la kheri na mpangaji mpya...
 
Unanikumbusha mwenye nyumba wangu wa kwanza. Same scenario
 
Umenikumbusha kuna mtu nilidate nae alipanga kwenye fremu ya biashara na akawa analipa pesa ndefu sana more than 25 M per year huyo mama mwenye nyumba akaamua kumpandishia bei ya fremu kama 10 M aiseee yule kaka ilibidi amuachie fremu yake..........na mpaka leo navoongea yule mama hajapata mpangaji pale watu wameshindwa amebakia kumuomba yule mpangaji wake wa zamani arudi na kodi atampunguzia
 
hali ni mbaya sana ki uchumi, nimeshashuhudia nmwenyumba anawatuma wanae, wajitahidi kunitega asubuhi ama usiku naporudi....walifeli kwa maana nikamleta waifu na uchangamfu ukaishia hapo, na mimi nikakatiza zile huduma ndogo ndogo maana mazoea yalizidi kiasi ikawa kama walizaliwa ili niwalee
 
Ninategemea kuhama kwenye hii nyumba ninayopanga in the next two weeks.
Najua ntapelekea kilio kwa mwenye nyumba kwa kuwa, nilikuwa nampa pesa yake kwa wakati na kwa jinsi vyuma vilivyobana, nikitoka sidhani kama atapata mtu wa kumpa pesa ndefu kama niliyokuwa namlipa.
Otherwise namtakia kila la kheri na mpangaji mpya...
Unapeleka kilio gani
 
hali ni mbaya sana ki uchumi, nimeshashuhudia nmwenyumba anawatuma wanae, wajitahidi kunitega asubuhi ama usiku naporudi....walifeli kwa maana nikamleta waifu na uchangamfu ukaishia hapo, na mimi nikakatiza zile huduma ndogo ndogo maana mazoea yalizidi kiasi ikawa kama walizaliwa ili niwalee
Dah jamaa ulifanya roho mbaya kiasi. Kuna familia zina hali ngumu sasa hivi.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom