Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
In short nina rafiki yangu alikuja kunitembelea ninapoishi na kwa vile bado sijaowa (single father)kwa vile nimepanga nyumba nzima ilikuwa ni mwendo wa kuwa free tu,basi baada ya kumaliza shughuli zake zilizomleta town ikabidi arudi kwake na pia kunisihi sana nimtembelee kwake!sasa tatizo mimi sina mazoea ya kwenda sehemu yoyote bila shughuli zozote za muhimu,basi baada ya mwaka kupita nikamjulisha mshikaji kuwa mwezi fulani nitamtembelea na pia nitakaa kwa muda wa wiki mbili nikwamwambia pia itapendeza Zaidi akinitafutia hotel au guest yoyote yenye bei nzuri na usalama pia,basi akanisihi sana kwamba amepanga nyumba kubwa kwahiyo hakuna haja ya mimi kukaa guest,basi siku ilipowadia nilisafiri salama na akanipokea vizuri tu,sasa kimbembe jamaa ana mke na anafokewa kinoma kama mtoto mdogo,imebidi shemeji mtu niwe mdogo kama chembe ya haradani nina siku tatu hapa lkn naona kama nina mwaka,kila nikijaribu kumsaundisha jamaa hapa niamie guest sababu bado sijamaliza shughuli zangu zilizonileta jamaa ananisihi sana nisifanye hivyo,hapo ndio nilipoamini mwanamke wa kiafrika ukijifanya gentleman sana hakuna rangi utaacha ona chalii yangu[emoji23],Lazima uwe mkali kidogo,yaani hapa huyu shemela akikohoa tu tunakuwa wanyonge kama tupo msibani!hadi natamani nirushe ngumi