Unapenda waume/wake na wake/waume wanakupenda kwann uwaseme vibaya?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Kuna MTU kazaliwa kwa ajili ya wanawake tu, yaani kila ataemwona anachanganyikiwa huku nyumbani kaacha mke, lkn pia wanawake nao wanapenda kumshobokea yaani akipita pahala tu lazima wadada wajigonge

Sasa km unapenda wanawake na wanawake wanakupenda kwann uwaseme vibaya?

Vile vile kwa madada, unapenda wanaume na wanaume wanakupenda kwanini uwaseme vibaya? Kwamba mwanaume yule na hivi ana vile, kwanini

Mwisho
Nawapenda na wao wananipenda siwezi kuwasema vibaya, au kutoa siri zao, km kuachana tutaachana kiroho safi tu
 
Back
Top Bottom