On my way to Nairobi...

On my way to Nairobi...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari zenyuu,

Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.

Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.

Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.

Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!

Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.

Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.

Nakeyi Nairobi.

Kasie Marhaba aka Mahaba.
 
Niko nakusuburia hapa kwa kisiii unileteeee zawadi ya kutoka bongo
 
Usijali, zawadi umepata ntakuletea zawadi mob ushindwe mwenyewe kuchanguaga.

Ndani ya Keiii....
 
Hope you took your V with you.

Aka Dora The Explorer.

Hahahahahahahaa as she is Kasie Mahaba..... She is full package whenever she goes.... delivering service enderveously.....

Just call her,

Lady Matata.
 
Na SALIM KIKEKE yuko Nairobi kikazi,jaribu kumcheki ,hhah haha haaa natania
 
Habari zenyuu,

Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.

Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.

Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.

Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!

Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.

Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.

Nakeyi Nairobi.

Kasie Marhaba aka Mahaba.
Safe journey
 
Karani. ... si ndio kazi ya kutumwa tumwa? Kwa lugha ya malkia Messenger Kasie.

As for this mission, am a messenger from SA purposely to seal a coy deal.

Sorry if I over deliver.
Nice...
 
Na SALIM KIKEKE yuko Nairobi kikazi,jaribu kumcheki ,hhah haha haaa natania

Hahahahahhahahaaa weeweee ..........

Au wewe ndo Salim? Umenikumbusha ule uzi niliomuanzishia nikiwa na ID ya Kasinde hehehehh. Kama ndo wewe njoo Fairmont Norfolk Hotel..... walaah ntakuomba denda tuu heheheheheh na unisamehe kabisaa kama ntakuwa nimekukwaza.

Msemo ukweli mpenz wa Mungu, nampendaga sana Salim Kikeke.

Ila uache kusaga sumu bana siku moja utajisahau utairamba mwenyewe halafu ikudhuru.

Kasie Matata.
 
Habari zenyuu,

Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.

Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.

Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.

Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!

Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.

Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.

Nakeyi Nairobi.

Kasie Marhaba aka Mahaba.

Nye Nye Nye!
 
Back
Top Bottom