Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,885
Huwa nashangaa sana unakuta mwanaume anataka mdada mzuri, mwenye sura nzuri, shape na wowowo na waliosoma sijui degree etc.
Hapo ukicheki dada zake wabaya shapeless wameolewa na mahari ndo iliyomsomesha pia aliishi kwa shemeji yake kabla hajatoka.
Hapo ukicheki dada zake wabaya shapeless wameolewa na mahari ndo iliyomsomesha pia aliishi kwa shemeji yake kabla hajatoka.