Huu Unafiki wa Wanaume kwa Wapenzi wao / Wake zao huwa ni kwa faida ya nani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,858
Ni tukio ambalo nimekuwa nikikutana nalo sana mara kwa mara tena sehemu nyingi ambapo utamwona Mwanaume ameongozana na ama Mpenzi au Mke wake mwenye mkoba wake ( Handbag ) kisha ukiwaona wako sehemu zisizo na Watu wengi utaona Mwanaume amebeba ule mkoba bila wasiwasi, hofu wala aibu tena kuna wengine hadi huwa wanayavaa mabegani na wengine wanayabeba Vichwani mwao wakiwa na nyuso za furaha lakini wakifika tu maeneo ya Watu wengi wenye mikoba yao hurudishiwa haraka haraka na Yule Mwanaume ' Kujikausha ' kama vile hajabeba ule mkoba.

Enyi Wanaume huu ' Unafiki ' kwa hao Wapenzi wenu / Wake zenu huwa mnaufanya kwa faida ya nani hasa? Kwani kama kweli umempenda Demu / Mke wako na labda unaongozana nae kutoka Tegeta hadi Mbagala kwanini tu usiwe unambebea huo mkoba wake muda wote ili kuonyesha upendo wako Kwake kuliko ' Kujitutumua ' kuwabebea sehemu za ' mafichoni ' na ' vichochoroni ' tu kuogopa aibu au kuchoreshwa?

Halafu na Wanawake nao walivyo ' Oya Oya ' wakiowaona Wapenzi wao / Waume zao wanapenda kuwabebea hiyo mikoba hudhani ndiyo wamependwa kweli kweli wakati ukweli ni kwamba hapo huwa ' wanasanifiwa ' kunakotukuka.

Nawasilisha.
 
kubeba mkoba wa mpenz, na mkoba wa mke ni vitu viwili tofauti, mdogo wangu alibeba mkoba wa demu wake, kisha akaanza kulia, ilikuwa usiku, shem alibaki nyuma kidogo akiongea na simu, dogo akafungua mkoba, akakuta kuna lipstick, tishu na vi packt vya condom ka tisa hivi, na havijaenea, zingine ziko, mbili, ingine moja na ujinga ujinga kibao...nilichomshauri siku ile sijawahi mshauri mtu mwingine yeyote
 
beba ka wajisikia kubeba ila ka hujisikii huna haja ya kuishi maisha ya wenzako ishi maisha yako halisi
 
kubeba mkoba wa mpenz, na mkoba wa mke ni vitu viwili tofauti, mdogo wangu alibeba mkoba wa demu wake, kisha akaanza kulia, ilikuwa usiku, shem alibaki nyuma kidogo akiongea na simu, dogo akafungua mkoba, akakuta kuna lipstick, tishu na vi packt vya condom ka tisa hivi, na havijaenea, zingine ziko, mbili, ingine moja na ujinga ujinga kibao...nilichomshauri siku ile sijawahi mshauri mtu mwingine yeyote
Hahaaaaa
 
Oohooooo,

Kwahiyo demu alikuwa mfanyabiashara au
 
kubeba mkoba wa mpenz, na mkoba wa mke ni vitu viwili tofauti, mdogo wangu alibeba mkoba wa demu wake, kisha akaanza kulia, ilikuwa usiku, shem alibaki nyuma kidogo akiongea na simu, dogo akafungua mkoba, akakuta kuna lipstick, tishu na vi packt vya condom ka tisa hivi, na havijaenea, zingine ziko, mbili, ingine moja na ujinga ujinga kibao...nilichomshauri siku ile sijawahi mshauri mtu mwingine yeyote
Huyo nae ndio nini kupekua mkoba wa mtu
 
Ndugu yangu bila kuwa mnafiki huwezi kudumu na mwanamke...usige ukathubutu kuishi na mwanamke km unaishi na mwanaume.....jiulize kwanini wanawake maadui wakubwa lkn wakikutana wanachekeana wanakumbatiana wakipishana tu utasikia ilo jinga sijui hata kwanini nimekutana nalo lkn wanaume maadui hawafanyi hivo..ukauzu ukauzu,mkeo hajapendeza thubutu kusema leo hujapendeza uone huo moto utakao waka hapo,wao wanaamini fanya jambo ambalo haliumizi hisia zake haijalishi kama ni jambo la uongo au la kweli au la unafiki......unafiki ni nguzo muhimu sana ukitaka kudumu na mwanamke...kwhiyo ukiona mwanaume sijui kabeba pochi uswazi,mjini kadanganyia anafunga viatu au ananunua maji ya kunywa ili mwanamke abebe pochi yake ni katika kudumisha mahusiano kwa kutumia mbinu hii ya unafiki
 
Back
Top Bottom