Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

Yaani kama jambo hili dogo unashindwa kulitatua ama kujua kipi sahihi basi IQ yako ndogo sana,
Sio lazima uulize kila kitu humu, hicho kitu simple sana Fanya maamuzi mwenyewe.
 
Sio lazima ujibu kila kitu humu.

Yaani kama jambo hili dogo unashindwa kukaa kimya ama kujua kipi sahihi kujibu basi IQ yako ndogo sana.
 
Utamegewa hadi na usiowatarajia.
Kuna binti ni mwalimu kamuweka ndani mshkaji wetu yaani binti akilewa ni kumchanua tu na kupiga.

Jamaa alimfuma rafiki yetu anammega binti kwenye msingi wa maua bar lakini kumuacha hawezi, hana pa kwenda kuishi na binti ndo provider.
 
Yaani kama jambo hili dogo unashindwa kulitatua ama kujua kipi sahihi basi IQ yako ndogo sana,
Sio lazima uulize kila kitu humu, hicho kitu simple sana Fanya maamuzi mwenyewe.
ushaur ni muhim muda mwingne kulko kukurupuka
 
Back
Top Bottom