BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Mwanaume Kama unania ya dhati kuwa na economic freedom in this tough economy basi inatakiwa uepukane na wale wanawake aina ya “Babe nina njaa, nibebee Pizza au Chips kuku asisahau kuweka mayonaise” au “Babe simu Iphone X imetoka naomba ninunulie”. Achana na huo ujuha…Badala yake pata mwanamke aina ya “Babe umekula au unataka nikupikie chakula gani leo” au “Babe ni nini future yako naona hujaweka vizuri vipaumbele vyako”. Spidi ya mwanaume kuwa na maendeleo na hatimae kushinda uhuru wa kiuchumi inategemeana sana na aina ya mwanamke uliyenae.
“Mwanamke bora ni Uwekezaji wenye faida kubwa na mwanamke asiejua nafasi yake ni Mzigo na Liability kubwa sana. Na pale upatapo maendeleo usiwe mbahili… usisahau ku-enjoy na mwanamke aliyekua nyuma ya mafanikio yako..” that’s smart dating and how we smart people do.“