Swali kwa wanaume wote wenye mke mmoja

mkighare

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
396
271
Wanaume mliooa mke mmoja ikifikia wake zenu wamejifungua au wana ugonjwa wa muda mrefu na wito wa asili wa kufanya tendo landoa ukija mnafanyaje?
 
Mke akijifungua na wewe ukawa umejiweka kwenye hali ya uzazi yaani kumlea mtoto kwa pamoja toka akiwa mchanga maana yake akilia usiku na wewe uamke kumnyamazisha na kujumlisha na majukumu ya mchana kutwa mwili utachoka tu hilo wazo litakosa nguvu kuliko ukawa hauko bize basi akili yote huamia kichwa cha chini
 
Furaha ya kupata mtoto, malezi ya mwanzo ya mama na kichanga, excitement uliyonayo vyote hivyo vinakufanya uache kuwaza ngono for a while.

Sidhani kama mtu huwezi kuvumilia mwezi hadi miwili, tunatakiwa kutawala hisia zetu, sio hisia zitutawale.
 
Aisee tena akijifungua na hamu inakata kabisa, enzi zangu alivyojifungua nilikaa kama.miezi sita sijapiga wala kuulizia, kutokana na uchanga ktk.maswala ya kifamilia nilikuwa nikijiuliza hivi naanzaje kumgegeda mtu aliyejifungua??

Ili fika mahali akawa ananigombeza maana nilikuwa namkwepakwepa na wala sikuwahi kuchepuka.

Kwanza mtoto alikuwa akisumbua sana, nami nilimpenda sana pia, kwa hiyo usiku kucha silali na nikiamka niko kazini so siku zangu zilikuwa ngumu kwa uchovu.

Nadhani akijifungua ukawa pamoja nae karibu unakuwa kama na wewe unejifungua.
 
Mkuu mimi wiki ya mwisho ya dalili za uzazi nakuwa busy sana, huwaga nachukua likizo fupi job kuhangaika na mzazi kijacho. Baada ya uzazi nakuwa busy na mahitaji ya kichanga na mama yake na kuhakikisha nipo karibu sana na mzazi ingawa sometimes wamama huwa wananifukuza mle ndani wanataka kufanya mambo yao. Huku nikiandaa mnyama (mbuzi mmoja kwa mtoto wa kike na wawili kwa mtoto wa kiume) tayari kwa kutoa sadaka ya kumshukuru Mungu kwa zawadi kubwa. Sasa mkuu katika hali kama hio utapata mda wa kuwaza kutoka nje kweli?
 
Mke akijifungua na wewe ukawa umejiweka kwenye hali ya uzazi yaani kumlea mtoto kwa pamoja toka akiwa mchanga maana yake akilia usiku na wewe uamke kumnyamazisha na kujumlisha na majukumu ya mchana kutwa mwili utachoka tu hilo wazo litakosa nguvu kuliko ukawa hauko bize basi akili yote huamia kichwa cha chini
umejibu vyema nenda kwa sanga shop kachukue bumunda.
Malezi ni ya umoja yanaongeza ashiki za kuwa na ukaribu na mwenza wako. ukiwa busy na malezi huwezi kuwa na wazo la mchepuko. maana kile kilio cha mtoto huwa kinakata stimu ya mambo mengi sana.
 
Bumunda bila kinywajiii haulitakii mema koo langu hahahaha, vijana wanasukumwa kuingia kwenye ndoa for the sake of kitumbua mengine wanasahau kama yapo wakiyakuta wanaanza kuhaha
 
Kwa jamii ii kutokulala kitanda kimoja na mkeo boss mpaka muda fulani ndipo uruhusiwe.
Sidhani kama kuna mtu anaeshindwa kutawala hisia zake huyo atakua dhaifu sana na atapotea pabaya.

Muda kama huo unapaswa uweke fikra kwenye kazi na ubussy mwingine mpaka huo mda ufike.
 
Wanaume mliooa mke mmoja ikifikia wake zenu wamejifungua au wana ugonjwa wa muda mrefu na wito wa asili wa kufanya tendo landoa ukija mnafanyaje?

Unavumilia, hapa ndio binadamu na Mbwa wanatofautiana.... nafikiri ukawaulize Mbwa wanafanyaje, maana binadamu ana akili na anajua anapaswa Kuvumilia...
 
Furaha ya kupata mtoto, malezi ya mwanzo ya mama na kichanga, excitement uliyonayo vyote hivyo vinakufanya uache kuwaza ngono for a while.

Sidhani kama mtu huwezi kuvumilia mwezi hadi miwili, tunatakiwa kutawala hisia zetu, sio hisia zitutawale.
Ewaaaaa....
Nakupenda ujue!!
 
Furaha ya kupata mtoto, malezi ya mwanzo ya mama na kichanga, excitement uliyonayo vyote hivyo vinakufanya uache kuwaza ngono for a while.

Sidhani kama mtu huwezi kuvumilia mwezi hadi miwili, tunatakiwa kutawala hisia zetu, sio hisia zitutawale.
Asante mkuu umejibu kisomi na siku zote watu huzani kua kukaa mwezi mmoja bila kusex nijambo laajabu sana lakini sio ajabu hata aliyepost hii ana mwaka hajui mwanamke ila anashangaa mwezi wakati wengine hata kama wake zetu hawaumwi wala hawana shida tunakaa hadi mwezi bila kusex coz maisha ya ndoa sio sex tu
 
Back
Top Bottom